Tuishitaki NHIF?

Tuishitaki NHIF?

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
70,791
Reaction score
98,334
Nimeongea na watoa huduma wa NHIF ili kujua kama yanayoendelea mitandaoni ni kweli au uongo

Jibu la huduma kwa wateja ni kama ifuatavyo

Kila kinachosemwa ni kweli. Kwa sasa Hospital ni Mara 3 kwa mwezi, hii ni kwa magonjwa ya kawaida. Hii yajumlisha watu wote kuanzia wenye Toto Afya hadi Wafanyakazi wa Serikali. Wataoruhusiwa kwenda mara nyingi ni wale wa Physio, Wound dressing etc...

Je twende Mahakamani ili NHIF irudi kama ilivyokuwa kabla ya kukatisha au kuvumilie sababu hatuna mkataba nao?
 
Wamesitisha
20220803_152500.jpg
 
  • Thanks
Reactions: 911
Nimeongea na watoa huduma wa NHIF ili kujua kama yanayoendelea mitandaoni ni kweli au uongo

Jibu la huduma kwa wateja ni kama ifuatavyo

Kila kinachosemwa ni kweli. Kwa sasa Hospital ni Mara 3 kwa mwezi, hii ni kwa magonjwa ya kawaida. Hii yajumlisha watu wote kuanzia wenye Toto Afya hadi Wafanyakazi wa Serikali. Wataoruhusiwa kwenda mara nyingi ni wale wa Physio, Wound dressing etc...

Je twende Mahakamani ili NHIF irudi kama ilivyokuwa kabla ya kukatisha au kuvumilie sababu hatuna mkataba nao?
HII INAHUSIANA NA ILE WALIYOISITISHA AMBAYO ILITAKIWA KUANZA 1/8/2022?
 
Kwa jinsi matangazo yataharuki yanavyotolewa kutoka NHIF inabidi paangaliwe kwa jicho la ziada.
Watakufa watu kwa uzembe.
Paletwe bima nyingine za afya zenye ushindani.
Walikubali kutumika kisiasa sasa shida inaonekana.
 
HUU UPUMBAVU NDIYO UNAONIFANYA SITOKAA NIKATE BIMA YA AFYA KAMWE KWENYE MAISHA YANGU!.

NIKIUGUA NITATUMIA HELA ZANGU ZA MFUKONI KUTIBIWA NA IKISHINDIKANA NI BORA NIFE NIPUMZIKE KULIKO KUWA NA BIMA ZA AFYA ZA KIJINGA KIJINGA ZINAZOTOLEWA HAPA NCHINI.
 
Kwa sasa Nchi hii, tunapaswa kuomba Huruma ya Mungu, hakuna anaye jali wala kufikiri juu ya raia wa kawaida!!!
 
HUU UPUMBAVU NDIYO UNAONIFANYA SITOKAA NIKATE BIMA YA AFYA KAMWE KWENYE MAISHA YANGU!.

NIKIUGUA NITATUMIA HELA ZANGU ZA MFUKONI KUTIBIWA NA IKISHINDIKANA NI BORA NIFE NIPUMZIKE KULIKO KUWA NA BIMA ZA AFYA ZA KIJINGA KIJINGA ZINAZOTOLEWA HAPA NCHINI.
Lengo kuu la bima yoyote, ni kutaka kubaki na hela zako kiujanja ujanja huku wakikudanganya kuwa bima hizo ni kwa ajili ya manufaa yako. Bima ni utapeli uliohalalishwa kwa bahati mbaya.
 
Back
Top Bottom