HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Nimeongea na watoa huduma wa NHIF ili kujua kama yanayoendelea mitandaoni ni kweli au uongo
Jibu la huduma kwa wateja ni kama ifuatavyo
Kila kinachosemwa ni kweli. Kwa sasa Hospital ni Mara 3 kwa mwezi, hii ni kwa magonjwa ya kawaida. Hii yajumlisha watu wote kuanzia wenye Toto Afya hadi Wafanyakazi wa Serikali. Wataoruhusiwa kwenda mara nyingi ni wale wa Physio, Wound dressing etc...
Je twende Mahakamani ili NHIF irudi kama ilivyokuwa kabla ya kukatisha au kuvumilie sababu hatuna mkataba nao?