Tuishitaki NHIF?

Tuishitaki NHIF?

Kwa sasa Nchi hii, tunapaswa kuomba Huruma ya Mungu, hakuna anaye jali wala kufikiri juu ya raia wa kawaida!!!
Waache kupora mihela yetu kama hawawezi kutuhudumia.
 
HUU UPUMBAVU NDIYO UNAONIFANYA SITOKAA NIKATE BIMA YA AFYA KAMWE KWENYE MAISHA YANGU!.

NIKIUGUA NITATUMIA HELA ZANGU ZA MFUKONI KUTIBIWA NA IKISHINDIKANA NI BORA NIFE NIPUMZIKE KULIKO KUWA NA BIMA ZA AFYA ZA KIJINGA KIJINGA ZINAZOTOLEWA HAPA NCHINI.
Mkiugua mnasumbua ndugu na familia zenu
 
Back
Top Bottom