Tuitazame Yanga ya msimu ujao, watu watakimbia mno

KImataifa mnacheza na nani?
Msiishie kusema kimataifa sema Shirikisho. Team ikiwa Champions league huweza kuta wanasema wako kimataifa hilo neno wanaziachia timu za taifa.
 
Huyo hamna kitu tauachieni wenye naye nyie furahini kwa kuwa hatawasumbua
Mimi ni shabiki wa yanga lakini mpira naangalia wanaocheza vizuri nawaona na wanaoribu nawaona. Faridi Mussa mwaka wa nne sasa yupo yanga mpira wake ni ule ule hakuna improvement mbaya zaidi kipindi kirefu cha msimu huwa anakua majeruhi
 
Mwaka takribani wa nne huu yupo yanga na kowango chake ni tia maji tia maji
Kuandamwa na majeraha haimaanishi ana kiwango kibovu. Kama mchezaji wa aina yake anasaini na kukubali kuanzia benchi ni faida kwa timu. Farid ni back-up nzuri sana.
 
Kuandamwa na majeraha haimaanishi ana kiwango kibovu. Kama mchezaji wa aina yake anasaini na kukubali kuanzia benchi ni faida kwa timu. Farid ni back-up nzuri sana.
Sasa hauoni kama injury prone ni mzigo kwa timu? Yafaa nini kuwa mchezaji mzuri halafu sehemu kubwa ya msimu unaandamwa na majeruhi.
 
Mimi ni shabiki wa yanga lakini mpira naangalia wanaocheza vizuri nawaona na wanaoribu nawaona. Faridi Mussa mwaka wa nne sasa yupo yanga mpira wake ni ule ule hakuna improvement mbaya zaidi kipindi kirefu cha msimu huwa anakua majeruhi
Faridi anaathiriwa na majeraha lakini ni mchezaji mzuri. Joseph Okocha alikuwa mchezaji mzuri sana lakini hakuwahi kucheza timu Ulaya kwa sababu alikuwa anakuwa na majeraha ya kudumu.

Yanga inaweza kumuacha Farid kwa sababu ni majeruhi wa kudumu dakika yoyote ni pancha na si kiwango.
 
Sasa hauoni kama injury prone ni mzigo kwa timu? Yafaa nini kuwa mchezaji mzuri halafu sehemu kubwa ya msimu unaandamwa na majeruhi.
Ukizungumzia aondoke kwa sababu hategemeki kwa kuwa ana majeraha ya mara kwa mara nakubali lakini si kwamba ana kiwango kibovu. Lakini kama amekubali kuwa back up ya wengine mpaka atakapokaa sawa acha abaki. Ni bora yeye kuliko yule jamaa wa Newcastle
 
Labda kama CAF Champions league mtacheza na Stand united
 
Badilika bwa mdogo.
Msimu uliopita ulikuja na ngonjera kama hizi na ulienda mbali zaidi eti mngetwaa CAFCL lakini mkaishia makundi ingawa mechi ya mwisho ya maamuzi mlimalizia nyumbani.
Jifunze kuweka akiba ya maneno itakuheshimisha
Wewe kama Mtani unahaki ya kuchallenge hivyo lakn amini nakuambia Mkuu kilichoikuta Yanga kipindi cha mechi za kufuzu robo fainali Cafcl hata kama ingekuwa Simba wangeramba ukwaju Mbichi kama ilivyo kuwa kwa Yanga. Kumbuka Yanga ilikuwa ya moto na kujiamini kupitiliza. Hivyo Kocha akaanza kufanya mambo ya hovyo wachezaji wakatoka kwenye mfumo, Viongozi wamekuja kugundua tatizo wakati ambao mambo yameharibika na huwezi kufanya marekebisho kwa siku 2 ama 3. Uzuri Wanajangwani ni waelewa...
 
Feisal ni rasmi sasa ni mwanajangwani tena? Hahaha, Kijana amejua kupigania maslahi.
 
Akili za Utopolo banaπŸ˜€πŸ˜€
 
MemkwA ... yaani wazee ndo tatizo Yanga...

Ondoa Wazee .... Yanga # 2 CAF afrika..!
 
Binafsi sio mtu wa kubashiri bashiri na kutabiri tabiri.

Kwa uzoefu nilionao kidogo
Simba na yanga huwa wanakuwa na homa za vipindi) misimu.
Huwa wanabadirishana ubora.

Yanga Inafifia Nyota ya simba ndio inaanza kuwaka. (Ufadhili wa jayroty utawashangaza watu).
Haziwagi zote kwenye Peack ya Ubora kwa pamoja.
 
Clement mzize anaenda ulaya ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…