Msiishie kusema kimataifa sema Shirikisho. Team ikiwa Champions league huweza kuta wanasema wako kimataifa hilo neno wanaziachia timu za taifa.KImataifa mnacheza na nani?
Huyo hamna kitu tauachieni wenye naye nyie furahini kwa kuwa hatawasumbuaMsidanganyike na ile assist ya jana. Hakuna kitu pale
Mimi ni shabiki wa yanga lakini mpira naangalia wanaocheza vizuri nawaona na wanaoribu nawaona. Faridi Mussa mwaka wa nne sasa yupo yanga mpira wake ni ule ule hakuna improvement mbaya zaidi kipindi kirefu cha msimu huwa anakua majeruhiHuyo hamna kitu tauachieni wenye naye nyie furahini kwa kuwa hatawasumbua
Kuandamwa na majeraha haimaanishi ana kiwango kibovu. Kama mchezaji wa aina yake anasaini na kukubali kuanzia benchi ni faida kwa timu. Farid ni back-up nzuri sana.Mwaka takribani wa nne huu yupo yanga na kowango chake ni tia maji tia maji
Sasa hauoni kama injury prone ni mzigo kwa timu? Yafaa nini kuwa mchezaji mzuri halafu sehemu kubwa ya msimu unaandamwa na majeruhi.Kuandamwa na majeraha haimaanishi ana kiwango kibovu. Kama mchezaji wa aina yake anasaini na kukubali kuanzia benchi ni faida kwa timu. Farid ni back-up nzuri sana.
Faridi anaathiriwa na majeraha lakini ni mchezaji mzuri. Joseph Okocha alikuwa mchezaji mzuri sana lakini hakuwahi kucheza timu Ulaya kwa sababu alikuwa anakuwa na majeraha ya kudumu.Mimi ni shabiki wa yanga lakini mpira naangalia wanaocheza vizuri nawaona na wanaoribu nawaona. Faridi Mussa mwaka wa nne sasa yupo yanga mpira wake ni ule ule hakuna improvement mbaya zaidi kipindi kirefu cha msimu huwa anakua majeruhi
Ukizungumzia aondoke kwa sababu hategemeki kwa kuwa ana majeraha ya mara kwa mara nakubali lakini si kwamba ana kiwango kibovu. Lakini kama amekubali kuwa back up ya wengine mpaka atakapokaa sawa acha abaki. Ni bora yeye kuliko yule jamaa wa NewcastleSasa hauoni kama injury prone ni mzigo kwa timu? Yafaa nini kuwa mchezaji mzuri halafu sehemu kubwa ya msimu unaandamwa na majeruhi.
😂😂😂😂😂Bado hamjakoma Kusajili Wazee..?
Mbona list yako Wamejaa Memkwa.?
Wewe kama Mtani unahaki ya kuchallenge hivyo lakn amini nakuambia Mkuu kilichoikuta Yanga kipindi cha mechi za kufuzu robo fainali Cafcl hata kama ingekuwa Simba wangeramba ukwaju Mbichi kama ilivyo kuwa kwa Yanga. Kumbuka Yanga ilikuwa ya moto na kujiamini kupitiliza. Hivyo Kocha akaanza kufanya mambo ya hovyo wachezaji wakatoka kwenye mfumo, Viongozi wamekuja kugundua tatizo wakati ambao mambo yameharibika na huwezi kufanya marekebisho kwa siku 2 ama 3. Uzuri Wanajangwani ni waelewa...Badilika bwa mdogo.
Msimu uliopita ulikuja na ngonjera kama hizi na ulienda mbali zaidi eti mngetwaa CAFCL lakini mkaishia makundi ingawa mechi ya mwisho ya maamuzi mlimalizia nyumbani.
Jifunze kuweka akiba ya maneno itakuheshimisha
Ila si sawa na kombe la single mothers shirikisho!Hiloooooo litimu la utopolo lilikua kwny group la hovyooo group la watoplo
Akili za Utopolo bana😀😀Yanga anaenda kutimizaa malengo yake yote ikiwa ni pamoja na kutwa ubingwa wa
1. NBC PL
2. CRDB confederation cup
3. Yanga ashatwaa ngao ya jamii akimpiga mtani Simba goli 2 Nusu final, huku akimtwanga Azam Goli 4
Wachezaji wanaotoka
1 Kennedy Musonda
2 Aziz ki
3 Clement Mzize
4 Aboubukar Kohmen (GK)
5 Denis Nkane
6 Jonas Mkude
7 Aziz Andambwile
Wanaoingia
1 Yona Amos (GK)
2 Jean Claude Girimugisha
3 Jonathan Sowah
4 Feisal Salum
5 Wilson Nangu
6. Abdolaye Yonta Camara
7 Husein Ssemfuko
8 Eric Mwajage
Watani wapo shirikisho ambapo watatoka kapa
Hapa mtani atakimbia tena bila shaka.
😀 😀 😀 😀Timu za kumwaga viloba vya chumvi na kupakwa mafuta lazima wakimbie.
Farid yupo vizuri kuliko kibabageFarid Mussa pia ni wa kupewa thank you
Clement mzize anaenda ulaya ?Yanga anaenda kutimizaa malengo yake yote ikiwa ni pamoja na kutwa ubingwa wa
1. NBC PL
2. CRDB confederation cup
3. Yanga ashatwaa ngao ya jamii akimpiga mtani Simba goli 2 Nusu final, huku akimtwanga Azam Goli 4
Wachezaji wanaotoka
1 Kennedy Musonda
2 Aziz ki
3 Clement Mzize
4 Aboubukar Kohmen (GK)
5 Denis Nkane
6 Jonas Mkude
7 Aziz Andambwile
Wanaoingia
1 Yona Amos (GK)
2 Jean Claude Girimugisha
3 Jonathan Sowah
4 Feisal Salum
5 Wilson Nangu
6. Abdolaye Yonta Camara
7 Husein Ssemfuko
8 Eric Mwajage
Watani wapo shirikisho ambapo watatoka kapa
Hapa mtani atakimbia tena bila shaka.