ngebo
JF-Expert Member
- Sep 8, 2017
- 1,684
- 2,126
Wazee usalama upo ?
Ok mimi ni kijana wa miaka 24, nimemaliza chuo 2018 UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM (COSS) sikuwa na lengo la kuajiriwa baada ya masomo hivyo nikajiingiza kwenye biashara ya electronics za majumbani naimport kutoka Asia then nauza huku na faida nilikuwa nasave ,
Sasa nina wazo la kufanya ishu nyingine nayo ni mgahawa wa chakula ila nataka kuanza kidogo kutest upepo unavumaje , hivyo nainject capital ya 1m ambayo ni ya kununulia vifaa na vyombo na chakula tu basi (eneo nimeshalipia ni kinondoni ) hivyo hiyo 1m ni kwajili tu ya hivo vitu tajwa hapo juu, sasa kwakuwa bado naendelea na research naombeni mawazo kwa nyie wajuzi , kama faida inakuwa kiasi gani per plate , changamoto etc ...
I'm open for all sorts of ideas , naleta motion kwenu ...
Asanteni