Tujadili biashara ya chakula Migahawa

Tujadili biashara ya chakula Migahawa

ngebo

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2017
Posts
1,684
Reaction score
2,126
Wazee usalama upo ?

Ok mimi ni kijana wa miaka 24, nimemaliza chuo 2018 UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM (COSS) sikuwa na lengo la kuajiriwa baada ya masomo hivyo nikajiingiza kwenye biashara ya electronics za majumbani naimport kutoka Asia then nauza huku na faida nilikuwa nasave ,

Sasa nina wazo la kufanya ishu nyingine nayo ni mgahawa wa chakula ila nataka kuanza kidogo kutest upepo unavumaje , hivyo nainject capital ya 1m ambayo ni ya kununulia vifaa na vyombo na chakula tu basi (eneo nimeshalipia ni kinondoni ) hivyo hiyo 1m ni kwajili tu ya hivo vitu tajwa hapo juu, sasa kwakuwa bado naendelea na research naombeni mawazo kwa nyie wajuzi , kama faida inakuwa kiasi gani per plate , changamoto etc ...

I'm open for all sorts of ideas , naleta motion kwenu ...

Asanteni
 
Mkuu flame ushailipia tayari sasa unataka ushauri gani tena?

Nikikushauri kuwa kinondoni hiyo biashara hailipi kwa wageni sababu kuna ma tycoon wa hiyo business kama akina shishi food, lamar food, esha buheti food, je utaweza hama eneo wakati ushalipia flame?
 
yes i concur na yote uliyonena, ila mawazo kama per plate nicharge bei gani , je hiyo bei itaweza kucover costs nilizotumia , nianze na mpishi mmoja au wawili, namlipa kila mmoja shillings ngapi kwa siku etc , ungenipa na information juu ya hayo itapendeza zaidi dada
Uwe na katiba hii biashara ni huduma kwa jamii, unapproachable huduma unategemewa hivyo na wewe usiwaangushe. Hata upate dharura fikiria wateja wako watakula wapi?

Ukitoa huduma cha muhimu ni kupata rizk hivyo usifikirie sana faida mpaka utakapozoeleka na kupanua biashara.
 
Sorry sijajiweka sawa boss sio frame bali ni eneo ndio napandisha taratibu frame , pia ni mbali sana na kwa kina lamar na shishi food cause nilipo ni huku karibia na leaders, sio sehemu exotic kama kina shishi pale pako extra sana mtaji wake na jina lake ulimruhusu
Mkuu flame ushailipia tayari sasa unataka ushauri gani tena?

Nikikushauri kuwa kinondoni hiyo biashara hailipi kwa wageni sababu kuna ma tycoon wa hiyo business kama akina shishi food, lamar food, esha buheti food, je utaweza hama eneo wakati ushalipia flame?
 
yes i concur na yote uliyonena, ila mawazo kama per plate nicharge bei gani , je hiyo bei itaweza kucover costs nilizotumia , nianze na mpishi mmoja au wawili, namlipa kila mmoja shillings ngapi kwa siku etc , ungenipa na information juu ya hayo itapendeza zaidi dada
Anza na chai, maandazi chapati supu ya utumbo, ulimi.

Supu unakwenda nacchapati, hakikisha unapata mpishi mzuri wa chapati ukimkosa ingia ubia na Mwajuma Ndalandefu mgawane nusu kwa nusu
 
Sorry sijajiweka sawa boss sio frame bali ni eneo ndio napandisha taratibu frame , pia ni mbali sana na kwa kina lamar na shishi food cause nilipo ni huku karibia na leaders, sio sehemu exotic kama kina shishi pale pako extra sana mtaji wake na jina lake ulimruhusu
Kama ni kule leaders fuata ushauri huu hapa chini
Anza na chai, maandazi chapati supu ya utumbo, ulimi.

Sulu unakwenda nacchapati, hakikisha unapata mpishi mzuri wa chapati ukimkosa ingia ubia na Mwajuma Ndalandefu mgawane nusu kwa nusu
 
Back
Top Bottom