DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Kumbuka Kura Zinapigwa na Wajumbe wa Mkutani mkuu ambao ni 1300 Na sio Kila mwanaxhama wa ChademaSijui unamaanisha nini unaposema wanaopiga kura sio wananchi wa kawaida.
Hizo tambo za kuwanyoosha CHADEMA katika box la kura ni tambo za hovyo tu, kama mnaweza kuwanyoosha kwa nini sasa mnaengua wagombea wao??
Kwa nini mawakala wao wa kusimamia kura hawapewi haki sawa na wa CCM? Kwa nini hamtaki walinde kura zao?
Kwa nini hamtaki watu huru tofauti na wa serikali wasimamie uchaguzi?
Kwa nini hamruhusu matoke yahojiwe maakamani?