Tujadili Demokrasia ndani ya CHADEMA. Je inashawishi ama kukatisha tamaa?

Sijui unamaanisha nini unaposema wanaopiga kura sio wananchi wa kawaida.
Kumbuka Kura Zinapigwa na Wajumbe wa Mkutani mkuu ambao ni 1300 Na sio Kila mwanaxhama wa Chadema
 
Kumbuka Kura Zinapigwa na Wajumbe wa Mkutani mkuu ambao ni 1300 Na sio Kila mwanaxhama wa Chadema
Kama hao wanachama wa kawaida wanawachagua wajumbe wengi walio mrengo wa Mbowe badala ya Lissu halafu wanataka hao wajumbe wampigie Lissu kura badala ya Mbowe basi watakuwa wendawazimu.

Hata hivyo hakuna hata kura za maoni zinazoonyesha wanachama wengi wa CHADEMA wanapendelea nani awe Mwenyekiti wao kati ya Mbowe na Lissu.
 
Wameoshaonyesha Uliangalia Wenyeviti wa Mikoa na Wenyeviti wa Kanda ndo hao walioenda Kumlazimisha Mbowe agombee na Ndo hao pia Ni wajumbe wa Mkutano mkuu
 
Summary Ya Kila Kilichoongelewa Humu Kupitia Podcast..

Sikililiza Hapa Utapata Kitu sana sana Yoda Humu umetajwa sana.. na JokaKuu
Your browser is not able to play this audio.
Sikiliza Ni Muhimu sana hii SUMMARY
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…