Tujadili goli hili la nyota wetu Samatta:TATIZO HAPA NI VAR AU REFA?

Kibosho1

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2017
Posts
2,621
Reaction score
4,293
Binafsi sioni kosa la Samatta hapa, offside iko wapi? Kama Ito ndo alikua offside kwani alikua mtu wa mwisho?

Kusema kweli hapa VAR imechemsha
 
Tatizo VAR inasimamiwa na binadamu.niliongea jana humu lile goli wangefunga Liver wala lisingepoteza muda pale uwanjani kulijadili lingekua goli halali.
Nakubaliana na ww kabisa hata Afcon ya juzi ilitokea kama hivi,yan ni goli lakini inatoka order toka juu kwamba alifute
 
Mpiga krosi alikua ameotea ila samatta hakua na tatizo.
Binafsi sioni kosa la Samatta hapa, offside iko wapi? Kama Ito ndo alikua offside kwani alikua mtu wa mwisho?

Kusema kweli hapa VAR imechemsha
 
Hakuna kitu mzungu hapendi ka mwafrika kuweka rekodi mpya, lakini ndio hivyo vingine hawawezi kuzuia
Sidhani hiyo kama ina uhalisia wowote waafrika wangi wanafunga magoli halali yanakubalika sema kabla ya kufunga alimsukuma defender.
 
Sidhani hiyo kama ina uhalisia wowote waafrika wangi wanafunga magoli halali yanakubalika sema kabla ya kufunga alimsukuma defender.
Mtangazaji alisema goli lilikataliwa kwa sababu kulikua na offside....
 
Sidhani hiyo kama ina uhalisia wowote waafrika wangi wanafunga magoli halali yanakubalika sema kabla ya kufunga alimsukuma defender.
Duh!!!kwahiyo shida ilikuwa ni offside au beki alisukumwa?
 
Jamani muambiwe mara ngapi? Mpira krosi (ITO) ndio alikua offside, ila Samatta hakuwa na tatizo lolote, kwa kifupi aliepiga pasi ya mwisho (assist) ndio alikua offside
 
Jamani muambiwe mara ngapi? Mpira krosi (ITO) ndio alikua offside, ila Samatta hakuwa na tatizo lolote, kwa kifupi aliepiga pasi ya mwisho (assist) ndio alikua offside
Tukumbushe sheria za soka kidogo, offside inahesabika kwa mchezaji wa mwisho au hata kwa assist?
 
Hakuna kitu mzungu hapendi ka mwafrika kuweka rekodi mpya, lakini ndio hivyo vingine hawawezi kuzuia
none sense mnajadili ujinga mtajiona wa kutengwa kumbe mnajitenga ujinga adimin futa post mbovu no room fo rasicim ila wao ndio wa kwanza kujibagua wanaonyesha uafrika wao
 
Tukumbushe sheria za soka kidogo, offside inahesabika kwa mchezaji wa mwisho au hata kwa assist?

Offside inaanza kuhesabika kwa yeyote ambae ameotea na ndio maana hata ukapokea mpira ukiwa umeotea na ukatoa pasi kwa mwingine ambae hajaotea na yeye akatoa assist bado itahesabika ni offside tu.

Offise ni kitendo cha mchezaji kuzidi kwa kiungo cha mwili except mkono tu, no matter katoa assist au kafunga kwa uelewa wangu mimi.

Nakaribisha ukosoaji kwa aneelewa tofauti na huu mtizamo wangu mimi.

Ito alikuwa offside ila Samatta hakuwa offside
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…