Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubaliana na ww kabisa hata Afcon ya juzi ilitokea kama hivi,yan ni goli lakini inatoka order toka juu kwamba alifuteTatizo VAR inasimamiwa na binadamu.niliongea jana humu lile goli wangefunga Liver wala lisingepoteza muda pale uwanjani kulijadili lingekua goli halali.
Pia rangi ya ngozi yaweza kuchangiaNakubaliana na ww kabisa hata Afcon ya juzi ilitokea kama hivi,yan ni goli lakini inatoka order toka juu kwamba alifute
Binafsi sioni kosa la Samatta hapa, offside iko wapi? Kama Ito ndo alikua offside kwani alikua mtu wa mwisho?
Kusema kweli hapa VAR imechemsha
Sidhani hiyo kama ina uhalisia wowote waafrika wangi wanafunga magoli halali yanakubalika sema kabla ya kufunga alimsukuma defender.Hakuna kitu mzungu hapendi ka mwafrika kuweka rekodi mpya, lakini ndio hivyo vingine hawawezi kuzuia
Au Samatta alivoruka kamsukuma jamaaMpiga krosi alikua ameotea ila samatta hakua na tatizo.
Alimsukuma goli likiwa tayari kafungaSidhani hiyo kama ina uhalisia wowote waafrika wangi wanafunga magoli halali yanakubalika sema kabla ya kufunga alimsukuma defender.
Au Samatta alivoruka kamsukuma jamaa
Mtangazaji alisema goli lilikataliwa kwa sababu kulikua na offside....Sidhani hiyo kama ina uhalisia wowote waafrika wangi wanafunga magoli halali yanakubalika sema kabla ya kufunga alimsukuma defender.
Duh!!!kwahiyo shida ilikuwa ni offside au beki alisukumwa?Sidhani hiyo kama ina uhalisia wowote waafrika wangi wanafunga magoli halali yanakubalika sema kabla ya kufunga alimsukuma defender.
Tukumbushe sheria za soka kidogo, offside inahesabika kwa mchezaji wa mwisho au hata kwa assist?Jamani muambiwe mara ngapi? Mpira krosi (ITO) ndio alikua offside, ila Samatta hakuwa na tatizo lolote, kwa kifupi aliepiga pasi ya mwisho (assist) ndio alikua offside
none sense mnajadili ujinga mtajiona wa kutengwa kumbe mnajitenga ujinga adimin futa post mbovu no room fo rasicim ila wao ndio wa kwanza kujibagua wanaonyesha uafrika waoHakuna kitu mzungu hapendi ka mwafrika kuweka rekodi mpya, lakini ndio hivyo vingine hawawezi kuzuia
Tukumbushe sheria za soka kidogo, offside inahesabika kwa mchezaji wa mwisho au hata kwa assist?