alliJAY4_four Senior Member Joined May 4, 2017 Posts 173 Reaction score 95 Nov 5, 2019 #1 Kwanini wagombea wengi wa vyama vya upinzani wameenguliwa? Hawakuwa na maarifa/uelewa wa kujaza fomu? Wengi wao wamerudisha form zikiwa kilema (baadhi ya vitu muhimu havikujazwa wala kuambatishwa) Viongozi wao wa juu walikua wame-base sana kwenye mitandao ya kijamii na sio kuwaeleimisha viongozi wao wadogo wa mitaa? Wananchi wamechoka propaganda za upinzani zisizokua na tija? ……. …….. ……..
Kwanini wagombea wengi wa vyama vya upinzani wameenguliwa? Hawakuwa na maarifa/uelewa wa kujaza fomu? Wengi wao wamerudisha form zikiwa kilema (baadhi ya vitu muhimu havikujazwa wala kuambatishwa) Viongozi wao wa juu walikua wame-base sana kwenye mitandao ya kijamii na sio kuwaeleimisha viongozi wao wadogo wa mitaa? Wananchi wamechoka propaganda za upinzani zisizokua na tija? ……. …….. ……..