Tujadili kifungu 47(3) cha Muswada wa sheria ya Tume ya Uchaguzi

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,252
Reaction score
36,513
F-ujSP4bsAAnzbu.jpeg.jpg

Nimeona hiko kifungu cha 47(3) kinaipa mamlaka Tume ya Uchaguzi kufanya maamuzi ya nani apige wapi kura siku ya uchaguzi wa Rais....

Watanzania mnakionaje hiki kifungu? Kinasherehesha haki au ndiyo tunaingizwa mkenge kama wa DP World?
 
View attachment 2811796

Kama tungekuwa na tume inayoaminika kuwa inatenda haki na inafanya kazi zake kwa uaminifu kingeachwa kilivyo. Kwa tume hii na labda nyingine itakayoundwa chini ya mbawa za chama kikongwe, nashauri kifutwe ili vitumike vifungu hivyo viwili ambavyo naamini vikifuatwa kama inavyopaswa udanganyifu unaolenga kuiba kura utapungua.
 
Kama tungekuwa na tume inayoaminika kuwa inatenda haki na inafanya kazi zake kwa uaminifu kingeachwa ilivyo. Kwa tume hii na labda nyingine itakayoundwa chini ya mbawa za chama kikongwe, nashauri kifutwe ili vitumike vifungu hivyo viwili ambavyo naamini vikifuatwa kama inavyopaswa udanganyifu unaolenga kuiba kura utapungua.
Tumeinataka wapiga kura fake watoke Mwanza wakapige Iringa🤣🤣🤣

Halafu wanajifanya ni Waislam wacha Mungu.

Uislam ni Dini ya Haki na Heri.

Hao wengine ni wanafiki tu.
 
View attachment 2811796

Nimeona hiko kifungu cha 47(3) kinaipa mamlaka Tume ya Uchaguzi kufanya maamuzi ya nani apige wapi kura siku ya uchaguzi wa Rais....

Watanzania mnakionaje hiki kifungu? Kinasherehesha haki au ndiyo tunaingizwa mkenge kama wa DP World?
Kwa uchaguzi digital au electronic kifungu hiki hakina madhara sana ila kwa mfumo wa kawaida inaweza leta double counting na rigging ingawaje
 
View attachment 2811796

Nimeona hiko kifungu cha 47(3) kinaipa mamlaka Tume ya Uchaguzi kufanya maamuzi ya nani apige wapi kura siku ya uchaguzi wa Rais....

Watanzania mnakionaje hiki kifungu? Kinasherehesha haki au ndiyo tunaingizwa mkenge kama wa DP World?
uzuri au ubaya wake, faida na hasara zake zitajidhihirisha baada ya kutekelezwa kwanza
 
View attachment 2811796

Nimeona hiko kifungu cha 47(3) kinaipa mamlaka Tume ya Uchaguzi kufanya maamuzi ya nani apige wapi kura siku ya uchaguzi wa Rais....

Watanzania mnakionaje hiki kifungu? Kinasherehesha haki au ndiyo tunaingizwa mkenge kama wa DP World?
Kinaweza kuwa ni kizuri Kwa maana kina accommodate inconveniences za wapiga kura, kulazimika kupigia kura eneo Fulani tu. Hatari yake kinacreate lopeholes za deception ya kura. Otherwise hakina shida,
 
Nikuambie tu, kifungu chochote kwenye sheria za masuala ya siasa nchi hii kina malengo matatu tu; i)Kuisadia CCM kushinda ii) Kuwezesha wagombea wa CCM kushinda iii)kuwarahisishia CCM kushinda.

Hivi, hata ungekuwa wewe madarakani, ungebadili vifungu vinavyokusaidia kusalia madarakani?

Hata Mungu hapendi ushindani ndio maana Shirki ni dhambi kubwa.
 
View attachment 2811796

Nimeona hiko kifungu cha 47(3) kinaipa mamlaka Tume ya Uchaguzi kufanya maamuzi ya nani apige wapi kura siku ya uchaguzi wa Rais....

Watanzania mnakionaje hiki kifungu? Kinasherehesha haki au ndiyo tunaingizwa mkenge kama wa DP World?
These guys are very tricky..

Hiki ni kifungu cha kuibia kura kumpitisha Rais wa CCM awe Rais wa Tanzania yote.

Na cha ajabu kingine ni kwanini iwe kwa kura ya Rais tu? Kwanini isiwe hata kura ya diwani au mbunge au mwenyekiti wa Kitongoji, Kijiji/mtaa?
 
View attachment 2811796

Nimeona hiko kifungu cha 47(3) kinaipa mamlaka Tume ya Uchaguzi kufanya maamuzi ya nani apige wapi kura siku ya uchaguzi wa Rais....

Watanzania mnakionaje hiki kifungu? Kinasherehesha haki au ndiyo tunaingizwa mkenge kama wa DP World?
Wakuhoji na kujadili hiko kifungu wapo bize na Makonda
 
Back
Top Bottom