Tujadili kwa pamoja kuhusu wanaume kufuga kucha kuna maanisha nini...??

Tujadili kwa pamoja kuhusu wanaume kufuga kucha kuna maanisha nini...??

mimi sijui nipoje!napenda mwanaume ambaye hata mafuta hajipaki/haendekezi! unakutana na mwanaume dukan la urembo busy anatafuta losheni arrrrrrrrrrrghhhhhh mie nakosa mzuka jaman! raha ya mwanaume awe na ile ngoz fulan amazing ya kiume halisia! akikugusa na kidevu kweli unahis nipo na MWANAUME! huwa nakuwa na mzuka sio wa nchi hii! wanzid kupungua tu jaman!

Nipo hapa mkuu nina kidevu kama ganda la fenesi.

Ama kweli kila shetani na mbuyu wake na mimi napata wa kuendana na mimi.
 
Nafikiri ni vyema mwanaume awe nadhifu avae vizuri kwa wastani na sio kupendeza sana na kuonekana muonekano wa kike,
 
Mwanaume kufuga kucha ni uchafu na wengi wenye huo ujinga wa kufuga kucha ni mabishoo huwezi kuta wanaume tunaojielewa tumefuga kucha au kuwa wachafu wachafu.

-Ndumilakuwili-
 
Habari ndugu zangu,
Naamini mko salama na bado mnaendelea kupigana na maisha ya sasa na hata kwa baadaye.

Kama kichwa cha habari kinavyo sema kuhusu majadiliano kwa pamoja kila mwenye wazo tofauti na mwenzake anaweza kuchangia hapa katika huu mjadala/ uzi.

Katika jamii yetu nyingi hasa hususani barani afrika na Asia tumekuwa tukiona wanaume wakifuga kucha kidole kimoja ama viwili na pia wengi wao hupaka rangi ama inna,

Sasa hii imekuwa ikiashiria nini kwa wanaume kufuga kucha, na nijuavyo kuwa wanawake ndio hufuga kucha ikiwa pamoja na urembo mwingine kwa sababu hata vitabu vitakatifu mbali mbali huwa vimeeleza kuhusu utamaduni wa kujipamba/ kujiremba ni mwanamke tu anaruhusiwa, ikiwa pamoja na hayo kwa jamii nyingi ya sasa tumekuwa tukiona wanaume kuvaa desturi ya wanawake kama kusuka nywele, kuvaa nguo za kubana, kutoboa masikio pamoja na pua.


Je...?? kwa mtazamo wako ni sahihi mwanaume aliye kamilika kufanya yote hayo ikiwemo kufuga kucha na kupaka rangi.
KUJIKUNIA

sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
 
Simpendi mwanaume anaefuga mikucha.......uchafu tuuuu
 
Hivi Nyie Mnaofuga makucha zile Nyuchi mnachezeaje na hiyo Mikucha au na Nyie ni Mashosti?
 
Back
Top Bottom