Kanye2016
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 2,904
- 3,006
Hapo kwenye cheni bana pagumu maana vijana wengi tunapenda kuvaa vitu vya Silver vile pale shingoni na wengine Gold hasa hasa mbele huko wanavaa sana Magold pale shingoni sasa kama ww huzitaki hizo naona tunaokosa sifa tutakuwa wengisipendi mwanaume anaefuga kucha,anaevaa cheni,anaevaa pete ambayo sio ya NDOA,nashukur MUNGU sijhawah kuwa nao kimahusiano! nawahis sio SALAMA KWANGU