Hapo kwenye cheni bana pagumu maana vijana wengi tunapenda kuvaa vitu vya Silver vile pale shingoni na wengine Gold hasa hasa mbele huko wanavaa sana Magold pale shingoni sasa kama ww huzitaki hizo naona tunaokosa sifa tutakuwa wengisipendi mwanaume anaefuga kucha,anaevaa cheni,anaevaa pete ambayo sio ya NDOA,nashukur MUNGU sijhawah kuwa nao kimahusiano! nawahis sio SALAMA KWANGU
Hapo kwenye cheni bana pagumu maana vijana wengi tunapenda kuvaa vitu vya Silver vile pale shingoni na wengine Gold hasa hasa mbele huko wanavaa sana Magold pale shingoni sasa kama ww huzitaki hizo naona tunaokosa sifa tutakuwa wengi
Wazee? hata hao pia wanavaa labda wa vijijiniupo sahihi... ndo maana napenda watu fulan hv sio vijana!...lol!
Ushawahi kukojoa Dagaa mkuu?Wengi wanafuga tu bila kuwa na sababu ila ukikutana na mwanamme anaejua kuutumia huo ukucha vizuri Mwanamke utakojoa dagaa ukitekenywa vizuri kiss_me
Basi ww utakuwa Muhenga tu sio bure
Baby wangu hiyo kucha huwa inamtoa machozi kila sikuHivi Nyie Mnaofuga makucha zile Nyuchi mnachezeaje na hiyo Mikucha au na Nyie ni Mashosti?
Ni kweli mkuuMwanaume kufuga kucha ni uchafu na wengi wenye huo ujinga wa kufuga kucha ni mabishoo huwezi kuta wanaume tunaojielewa tumefuga kucha au kuwa wachafu wachafu.
-Ndumilakuwili-