Prof_Adventure_guide
JF-Expert Member
- Dec 21, 2023
- 533
- 1,499
Ni kweli yamejadiliwa sana, lakini kuzungumza bila kuchukua hatua ni sawa na kukubali kimya kimya. Hatua si lazima iwe vurugu ni kuelimishana, kushikamana na kudai uwajibikaji kwa njia za kisheria. Uthubutu huanza na mmoja anayeamua kutosalia kimya.Hayo mambo yalishajadiliwa sana ila hatuna uthubutu wa kuchukua hatua.
Gwajima hawezi kufunga hoja ambayo bado inaendelea kuumiza wananchi. Maumivu ya utekaji hayawezi kuzimwa kwa kauli ya mtu mmoja! ukweli haufungwi kwa maneno, unahitaji haki.Gwajima alishaufunga hii hoja
Asante, hoja njema haikimbiwi, inaendelea kuishi mpaka ipate majibu ya kweli.Imekaa njema
Polisi wakiongozwa na Mafwele lkn wanatumwa na Abdul kwa maagizo ya mamake.Huyu mtekaji ni nani?
Kwa madhumuni ya ufafanuzi wa masharti ya ibara hii neno "KUBAGUA" maana yake ni kutimiza haja,haki au mahitaji mengineyo kwa watu mbalimbali kwa kuzingatia utaifa wao,kabila,pahala walipotokea,MAONI YA KISIASA,rangi,dini,jinsia au hali yao ya maisha kwa namna ambayowatu wa aina fulani wanafanywa au kuhesabiwa kuwa dhaifu au duni na kuwekewa vikwazo au masharti ya vipingamizi ambapo watu wa aina nyingine wanatendewa tofauti au wanapewa fursa au faida iliyoko nje ya masharti au sifa za lazima.Tujiulize kwa uzito na dhamira safi: Kwa nini matukio ya utekaji yameendelea kuwa siri nzito inayoumiza jamii, na kwa nini wahanga wakubwa ni wale tu wanaothubutu kusema wazi kuhusu mfumo wa uongozi? Hii sio coincidence—ni pattern ya hatari.
Kama taifa, hatuwezi kuendelea kufumba macho huku ndugu, marafiki na wapambanaji wetu wakipotea ghafla, wengine wakipatikana wakiwa katika hali ya kutisha, wengine hawarudi kabisa. Tofauti ya views kisiasa haipaswi kuwa death sentence au hukumu ya mateso.
Wanaotekwa ni watu wa muhimu—ni Watanzania wenzetu. Hili si suala la vyama bali utu, haki, na rule of law. Tunahitaji mjadala wa kitaifa, si kwa jazba bali kwa hoja zenye uzito wa kikatiba na ubinadamu. Utekaji si njia ya kulinda madaraka, ni dalili ya utawala usiojiamini.
Leo hii, tunapozungumza kama Watanzania, tujiulize:
1. Huyu mtekaji ni nani?
2. Anafanya kwa niaba ya nani?
3. Kwanini wanaotekwa ni watu waliokosoa mamlaka?
Ni muda wa accountability. Ni muda wa civil discourse kuhusu mustakabali wa taifa. Tujadili haya mambo bila uchochezi, bali kwa upendo kwa taifa letu—kwa sababu tusipozungumza leo, kesho anaweza kutekwa ndugu yako au wewe mwenyewe.
Tuache woga. Tujadili. Tuchukue hatua kwa akili.
Shida ya WATANZANIA wengi wanasema tukae kimya tusetekwe kama wengine. Anayefanya utekeji anafanya hivyo kwa lengo tu serikali iliyoko madarakani iogopweTujiulize kwa uzito na dhamira safi: Kwa nini matukio ya utekaji yameendelea kuwa siri nzito inayoumiza jamii, na kwa nini wahanga wakubwa ni wale tu wanaothubutu kusema wazi kuhusu mfumo wa uongozi? Hii sio coincidence—ni pattern ya hatari.
Kama taifa, hatuwezi kuendelea kufumba macho huku ndugu, marafiki na wapambanaji wetu wakipotea ghafla, wengine wakipatikana wakiwa katika hali ya kutisha, wengine hawarudi kabisa. Tofauti ya views kisiasa haipaswi kuwa death sentence au hukumu ya mateso.
Wanaotekwa ni watu wa muhimu—ni Watanzania wenzetu. Hili si suala la vyama bali utu, haki, na rule of law. Tunahitaji mjadala wa kitaifa, si kwa jazba bali kwa hoja zenye uzito wa kikatiba na ubinadamu. Utekaji si njia ya kulinda madaraka, ni dalili ya utawala usiojiamini.
Leo hii, tunapozungumza kama Watanzania, tujiulize:
1. Huyu mtekaji ni nani?
2. Anafanya kwa niaba ya nani?
3. Kwanini wanaotekwa ni watu waliokosoa mamlaka?
Ni muda wa accountability. Ni muda wa civil discourse kuhusu mustakabali wa taifa. Tujadili haya mambo bila uchochezi, bali kwa upendo kwa taifa letu—kwa sababu tusipozungumza leo, kesho anaweza kutekwa ndugu yako au wewe mwenyewe.
Tuache woga. Tujadili. Tuchukue hatua kwa akili.
Asante kwa rejea hiyo muhimu. Ibara 13(5) inaweka msingi thabiti wa usawa mbele ya sheria. Hivyo, kitendo chochote cha kubagua kwa misingi ya maoni ya kisiasa si tu kwamba ni kinyume cha maadili, bali ni ukiukwaji wa Katiba yenyewe.Kwa madhumuni ya ufafanuzi wa masharti ya ibara hii neno "KUBAGUA" maana yake ni kutimiza haja,haki au mahitaji mengineyo kwa watu mbalimbali kwa kuzingatia utaifa wao,kabila,pahala walipotokea,MAONI YA KISIASA,rangi,dini,jinsia au hali yao ya maisha kwa namna ambayowatu wa aina fulani wanafanywa au kuhesabiwa kuwa dhaifu au duni na kuwekewa vikwazo au masharti ya vipingamizi ambapo watu wa aina nyingine wanatendewa tofauti au wanapewa fursa au faida iliyoko nje ya masharti au sifa za lazima.
Rejea Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 ibara 13(5).
Ukimya si kinga dhidi ya dhuluma ni kuruhusu uovu uendelee kwa baraka ya hofu. Kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania, ibara ya 18(a)-(d), kila Mtanzania ana haki ya kutoa maoni na kupata taarifa. Vitisho na utekaji kwa lengo la kuzuia haki hii ni kinyume cha sheria na ni tishio kwa misingi ya utawala wa sheria na demokrasia.Shida ya WATANZANIA wengi wanasema tukae kimya tusetekwe kama wengine. Anayefanya utekeji anafanya hivyo kwa lengo tu serikali iliyoko madarakani iogopwe
Umegusa kiini cha maumivu ya taifa. Ukimya wa kizazi hiki unaweza kuwa mzigo wa laana kwa vizazi vijavyo. Maendeleo ya kweli hayawezi kujengwa juu ya uoga, ufisadi na ukandamizaji wa haki. Institutions kama Bunge na Mahakama zinaponyamaza mbele ya uovu, zinakuwa sehemu ya mfumo unaotafuna uhai wa nchi, not by law, but by complicity.Mjadala mzuri sana, raia tunapuuzia na kukaa kimya huku watetezi wetu wakioteza uhai, tunasahau bila watu kumwaga damu hata uhuru tulionao sasa Afrika usingekuepo na muda unavyozidi kwenda ndio mizizi ya uonevu, ukatili, utekaji, ufisadi na maisha duni ya mtanzania inazidi kumea
N.B Mizizi inavyozidi kumea ndio itahitaji damu nyingi zaidi kuleta ukombozi
Vizazi vitakavyokuja vitashangaa na kulaani ni kwa namna gani tulikubali kuuliwa, watu wachache kujilimbikizia ukwasi, fedha za kuleta huduma bora kutumika kwa maslahi binafsi, mikopo ya kuweka rehani vitega uchumi vya nchi pamoja na mikataba ya kinyonyaji inatosainiwa na maprofesa na wazee waliopewa dhamana ya madaraka,
Watashangaa zaidi ni kwa namna gani kuna bunge n mahakama zinazotumia kodi zetu kujiendesha na bado zinaruhusu haya yote kutokea
uko sahihi.Hayo mambo yalishajadiliwa sana ila hatuna uthubutu wa kuchukua hatua.
Tuhuma kama hizi ni nzito na zinahitaji ushahidi na utaratibu wa kisheria. Tuna wajibu wa kudai ukweli kwa njia za haki, si kwa jazba! ili haki isitafutwe kwa uonevu mwingine.Hakuna Cha kujadili. Watekaji ni policcm.