Tujadili kwa Umakini: Nani anateka na kwanini wanaotekwa ni wakosoaji wa utawala?

Chadema ndo wameanzisha kikundi cha kuteka na kuumiza wanachama wake ili kuichonganisha serekali na wananchi ni mbinu wanayotumia kuendea lengo lao la kufanya uasi.
1000000240.jpg
 
Na serikali ikashindwa kuzungumza?
Au kuwapata wanaofuchwa ndani ya nchi hii hii
Umefikiria kweli kabla hujaandika
 
Tujiulize kwa uzito na dhamira safi: Kwa nini matukio ya utekaji yameendelea kuwa siri nzito inayoumiza jamii, na kwa nini wahanga wakubwa ni wale tu wanaothubutu kusema wazi kuhusu mfumo wa uongozi? Hii sio coincidence—ni pattern ya hatari.

Kama taifa, hatuwezi kuendelea kufumba macho huku ndugu, marafiki na wapambanaji wetu wakipotea ghafla, wengine wakipatikana wakiwa katika hali ya kutisha, wengine hawarudi kabisa. Tofauti ya views kisiasa haipaswi kuwa death sentence au hukumu ya mateso.

Wanaotekwa ni watu wa muhimu—ni Watanzania wenzetu. Hili si suala la vyama bali utu, haki, na rule of law. Tunahitaji mjadala wa kitaifa, si kwa jazba bali kwa hoja zenye uzito wa kikatiba na ubinadamu. Utekaji si njia ya kulinda madaraka, ni dalili ya utawala usiojiamini.

Leo hii, tunapozungumza kama Watanzania, tujiulize:

1. Huyu mtekaji ni nani?

2. Anafanya kwa niaba ya nani?

3. Kwanini wanaotekwa ni watu waliokosoa mamlaka?

Ni muda wa accountability. Ni muda wa civil discourse kuhusu mustakabali wa taifa. Tujadili haya mambo bila uchochezi, bali kwa upendo kwa taifa letu—kwa sababu tusipozungumza leo, kesho anaweza kutekwa ndugu yako au wewe mwenyewe.

Tuache woga. Tujadili. Tuchukue hatua kwa akili.
Askofu Josephat Gwajima alishaliweka hili wazi na inaeleweka ni nani na kwanini..

#1. Anayeteka, kutesa, kupoteza na kuua wakosoaji wake kisiasa wa Bi Samia Suluhu Hassan na CCM ni:
Vikundi vya kijambazi/kigaidi vya wanasiasa wakubwa ndani ya serikali ya CCM na Rais Samia Suluhu Hassan mwenyewe

Ushahidi ni:
👉Jeshi la Polisi kuufyata, kushindwa kufanya lolote kukamata na kuwafikisha wahusika kwenye mikono ya sheria....
👉Mahakama na Bunge both zimekuwa compromised. Haziwezi kufuata mkondo wa HAKI. The devil 👿 👿 is at work...
👉Rais Samia Suluhu Hassan (ambaye Amiri Jeshi mkuu wa Majeshi yote ya ulinzi na usalama, mkuu wa nchi na serikali) mwenyewe kuwa kimya na kubariki uovu huu kuendelea. Ameruhusu mauaji haya kuendelea kwa manufaa yake kisiasa...

👉Kila aliye upande akijitokeza kuhoji au kukosoa matendo haya, anakula rungu. Rejea Askofu Josephat Mathias Gwajima wa kanisa la GCTC, Luhaga Mpina [MB] wa Kisesa - Meatu - CCM
👉Kila aliye nje yao, akionesha kupingana nao, anapigwa rungu. Rejea ya CHADEMA kufungiwa shughuli zao za kisiasa kwa muda, kuzuiliwa ruzuku, Mwenyekiti wao Tundu Lissu kubambikiziwa kesi mbaya ya uhaini na yuko remanded, viongozi wake kupigwa marufuku kusafiri nje ya nchi nk

#2. Wanafanya kwa niaba ya nani?
👉Rais Samia na CCM yake ili waendelee kubaki madarakani. Wanamtetea kwa namna hii Ili abaki madarakani

#3. Kwanini wanatekwa, kuteswa, kupotezwa na kuuwawa ni wakosoaji wake CCM na serikali tu?

👉Kwa sababu;
1. Hawana majibu ya hoja zinazotolewa na wapinzani wao na wananchi kwa ujumla. Wanaona ni busara na sahihi kujibu hoja kwa kuipiga rungu, kuteka watoa hoja na kuwaua..

2. Wao wanasema ni "ili wasiendelee kutusumbua njia ni Moja tu; watishe, Teka, piga sana, poteza na ikibidi ua kabisa na tukiwamaliza, nafasi yetu ya utawala itakuwa secured...

3. Kubwa kuliko yote ni kuwa wanahofu kuondolewa madarakani na kuingia watu wenye haki. Madhambi na uchafu walioitendea nchi hii yanawatisha iwapo utaingia utawala wa mrengo tofauti na wao. Wanaogopa kushitakiwa na wengine kufungwa maisha na wengine kunyongwa hadi kufa kabisa. Wameiba mno hawa na wameua watu wengi mno..!!

MASWALI YA KUWAULIZA HAWA NI: •Hiki wanachokifanya ndiyo kitafuta makosa?

• Kitapunguza ukali wa makosa yao na hukumu iliyo mbele yao?

HAKIKA JIBU NI: Hapana kubwa. Wanatapatapa tu lakini mwisho wake ni kuwa, watakufa tu!!
 
Ninakuelewa, hisia kali huja pale mtu anapoguswa na jambo kwa undani. Lakini majadiliano yenye heshima na hoja makini ndiyo msingi wa mabadiliko ya kweli si matusi wala kejeli. Tujenge hoja, si chuki.
Haibadilishi kitu Prof
Hoja ni hoja na hisia ni hisia. Kama Taifa wakati tulionao hoja si msingi sana wa mambo.
 
Tujiulize kwa uzito na dhamira safi: Kwa nini matukio ya utekaji yameendelea kuwa siri nzito inayoumiza jamii, na kwa nini wahanga wakubwa ni wale tu wanaothubutu kusema wazi kuhusu mfumo wa uongozi? Hii sio coincidence—ni pattern ya hatari.

Kama taifa, hatuwezi kuendelea kufumba macho huku ndugu, marafiki na wapambanaji wetu wakipotea ghafla, wengine wakipatikana wakiwa katika hali ya kutisha, wengine hawarudi kabisa. Tofauti ya views kisiasa haipaswi kuwa death sentence au hukumu ya mateso.

Wanaotekwa ni watu wa muhimu—ni Watanzania wenzetu. Hili si suala la vyama bali utu, haki, na rule of law. Tunahitaji mjadala wa kitaifa, si kwa jazba bali kwa hoja zenye uzito wa kikatiba na ubinadamu. Utekaji si njia ya kulinda madaraka, ni dalili ya utawala usiojiamini.

Leo hii, tunapozungumza kama Watanzania, tujiulize:

1. Huyu mtekaji ni nani?

2. Anafanya kwa niaba ya nani?

3. Kwanini wanaotekwa ni watu waliokosoa mamlaka?

Ni muda wa accountability. Ni muda wa civil discourse kuhusu mustakabali wa taifa. Tujadili haya mambo bila uchochezi, bali kwa upendo kwa taifa letu—kwa sababu tusipozungumza leo, kesho anaweza kutekwa ndugu yako au wewe mwenyewe.

Tuache woga. Tujadili. Tuchukue hatua kwa akili.
Soma kuhusu ostracism
 
Naunga mkono hoja
P
 
Back
Top Bottom