Tujadili kwa Umakini: Nani anateka na kwanini wanaotekwa ni wakosoaji wa utawala?

aliyefungia Kanisa la Gwajima ndiye mtekaji mkuu
Tuhuma kama hizi zinapaswa kushughulikiwa kwa ushahidi thabiti na kwa mujibu wa sheria. Kuwahusisha watu binafsi bila muktadha wa kisheria ni hatari kwa ustawi wa haki na utawala wa sheria. Ukweli haujengwi kwa hisia bali kwa taratibu halali.
 
Kila mtu:-
(a).anao uwezo wa kuwa na maoni na kueleza hisia zake
(b)anayo haki ya kutafuta,kupokea na kutoa habari bila ya kujali mipaka ya nchi
(c)anao uhuru wa kufanya mawasiliano na haki ya kutoingiliwa katika mawasiliano yake na
(d)anayo haki ya kupewa taarifa wakati wote kuhusu matukio mbalimbali muhimu kwa maisha na shughuli za wananchi na pia kuhusu maswala muhimu kwa jamii.
 
Tuhuma kama hizi zinapaswa kushughulikiwa kwa ushahidi thabiti na kwa mujibu wa sheria. Kuwahusisha watu binafsi bila muktadha wa kisheria ni hatari kwa ustawi wa haki na utawala wa sheria. Ukweli haujengwi kwa hisia bali kwa taratibu halali.
Kwanini Kanisa la Gwajima limefutwa?
 
Kwanini Kanisa la Gwajima limefutwa?
Kufutwa kwa taasisi ya kidini kama kanisa kunapaswa kuwa na msingi wa kisheria, si tu maamuzi ya kiutawala. Iwapo kuna sababu halali, zinapaswa kuwekwa wazi kwa umma kwa mujibu wa misingi ya uwazi, haki, na utawala wa sheria. Vinginevyo, hofu na hisia hujaza pengo la ukimya wa mamlaka.
 
Baada ya kumzingila Jasusi wa mbinguni bado tu hujamjua mtekaji kweli?
Kumzunguka “Jasusi wa mbinguni” hakutoshi kama hakuna ushahidi wa wazi na muktadha wa kisheria. Kujua mtekaji si kwa hisia, bali kwa ukweli uliochunguzwa kwa haki na kuthibitishwa kisheria. Haki ya kweli hujengwa juu ya uthibitisho, si tafsiri za kiroho pekee.
 
Swali rahisi Sana hili,
Mtekaji ni samia, hawa kina mafwele ni watekelezaji tu, fucking attack dogs.
 
Makonda na Mchengerwa ndio watu wabaya sana nchini.
 
Hatua inayochukuliwa na serikali yako pindi mtu ambaye hawana tija naye anapotekwa ndiyo mwanzo wa malalamishi.Hebu fikiri mtoto wa Askari,Waziri,Spika,Rais au kiongzi yeyote wa Serikali atekwe kama Jeshi la Polisi litakuja na kauli za Presumptions ambazo sheria ya ushahidi inasema ili ithibitishwe kuwa mtu amepotea ni lazima iwe miaka mitano na zaidi na ni lazima ithibitishwe na mahakama.
 
Tuhuma kama hizi zinapaswa kushughulikiwa kwa ushahidi thabiti na kwa mujibu wa sheria. Kuwahusisha watu binafsi bila muktadha wa kisheria ni hatari kwa ustawi wa haki na utawala wa sheria. Ukweli haujengwi kwa hisia bali kwa taratibu halali.
Nauliza Abdul akipotea Serikali itasubiria miaka mitano ipite ndiyo itoe tamko?
 
Mi kilichoniuma ni wachokonozi kukamatwa wale jamaa walikuwa wanatema nondo mbaya kabisa
 
Chadema ndo wameanzisha kikundi cha kuteka na kuumiza wanachama wake ili kuichonganisha serekali na wananchi ni mbinu wanayotumia kuendea lengo lao la kufanya uasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…