Tujadili kwa uwazi kisheria kuhusu kujiuzulu kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM bara Abdulrahman Kinana. Sheria, Katiba na Kanuni zihusike

Kumekucha 😱
 
Najiuliza tu, juzi tulisikia VP akisema asifikiri mtu yoyote nikiwemo Mimi (VP) kwamba hawezi kubadilishwa (irreplaceable).
Hazijisha wiki 2,Kinana OUT πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€nipo hapa mtazamaji wa kimataifa kutoka umqontho Wesizwe
Mama yupo vizuri !
Nadhani kuna Siri zimefichuka !
Ngoja Tusubiri tuone !πŸ™ŒπŸ‘
 
Amefukuzwa amejiuzulu watajuana wenyewe. Muhimu hawa 'gang of four' ukimuongeza marehemu membe wameachia ngazi kwenye utawala.
 
Hivi tangu lini CCM imekuwa na utamaduni wa kutii Sheria au Katiba katika nchi hii?
 
Kwani hii ni mara ya kwanza Komredi Kinana Kujiuzulu?! 🐼
Sio mara Ya kwanza..
Ila tunachokisema Sio yeye Kujiuzulu bali sheria na Taratibu za Kujiuzulu zifuatwe..
Kamati ya Chama na mkutano mkuu Umekaa Lini kupitisha Maamuzi hayo?
 
Kama Katiba ya nchi wanaivunja mchana kweupee.

Hiyo ya Chama ni kijitabu tu mbele yao.

Ukishashika nafadi ya (za) juu basi una immune dhidi ya katiba
Kwahiyo watanzania tuendelee kuchekelea uvunjwaji wa katiba tofauti na roho ya nchi inavyotaka? Hii itaendelea mpaka lini kuwa "Katiba imevunjwa, katiba imevunjwa?" Na hakuna hatua inayochukuliwa na vyombo vilivyopewa mamlaka ya kusimamia watendaji wa serikali?
 
Amefukuzwa amejiuzulu watajuana wenyewe. Muhimu hawa 'gang of four' ukimuongeza marehemu membe wameachia ngazi kwenye utawala.
Bado kabaki Mmoja hawawezi kumgusa Untouchable ukimgusa tu Umenuka πŸ€”πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Sio mara Ya kwanza..
Ila tunachokisema Sio yeye Kujiuzulu bali sheria na Taratibu za Kujiuzulu zifuatwe..
Kamati ya Chama na mkutano mkuu Umekaa Lini kupitisha Maamuzi hayo?
Yeye ameshajiuzulu taratibu zitafuata baadae

Kawaida Sana πŸ˜‚
 
Ndo hapo unaweza Kushangaa Kuwa Anapeleka Barua kwa Kiongozi wa CCM kwa kazi ya Umma
Tanzania ni Nchi ya kipekee kabisa...can you imagine waheshimiwa Msukuma na Kibajaji wanaweza kukaa na wenzao kama kamati kuu au Bunge na kufanya maamuzi ambayo kuanzia Wakuu wa vyombo wakiongozwa na Mkuu wa Majeshi hadi mkulima wa Kawaida kabisa uko tandahimba watayatii Bila kuhoji ata nukta!?
 
Sasa Mh Mwenyekiti Hakutakiwa Kuridhia Maana Yeye Hana mamlaka ya Kuridhia..
Ila mamlaka ya Kuridhia yapo chini ya Kamati kuu na CC
Kumbuka Kinana alishajiuzulu wakati wa Shujaa Magufuli

Mpendwa Wetu Mh Mwenyekiti Dr Samia alimuomba tu arejee kwa muda so hakuwa na mkataba wa kikatiba tena

Ahsante πŸ˜‚
 
Hi mkuu,
For the status of our nation, economically, politically, socially, I don't think we wananchi should be concerned about the happenings in ccm establishement,
Our only concern should be how to get rid of this cancer(ccm), they are destroying our country,
Samia/ccm have no regitimacy to rule, we know it, they know it, and they know without maghufurication of our electro system, they can't win on the ballot,
They should have been got ridden of yesteryears,
Ccm rulers are bunch of thieves, incompetent, thugs, they care only for there stomachs, family,
As far as am concerned, they can drop and die, the bad thing, if we don't kick, or bomb them out of state House, they will take this country into hell, shitholes,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…