Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
CCM ni chafu sn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumekucha 😱Ibara ya 19(b) ya Katiba ya CCM ya 1977, Toleo la 2022 inatoa fursa ya Kiongozi KUJIUZULU.
UTARATIBU
Makamu Mwenyekiti CCM anapojiuzulu hutakiwa kukabidhi barua ya kujiuzulu kwa Mwenyekiti wa chama Taifa. Kisha, Mwenyekiti anatakiwa Kikatiba (CCM) kuipeleka kwenye Halmashauri Kuu ya CCM Taifa. Hiki ndicho chombo chenye mamlaka ya KURIDHIA au KUKATAA kuridhia kujiuzulu kwa huyo kiongozi.
Kama chombo hiki kitaridhia, rais au Halmashauri Kuu itatakiwa kuitisha Mkutano Mkuu wa chama Taifa kwa ajili ya uchaguzi huku ikipeleka jina la Kada aliyeteuliwa ili apigiwe kura awe Makamu Mwenyekiti mpya wa chama.
Siku ya Mkutano Mkuu (ambao huwa wazi), Mwenyekiti wa Chama Taifa atasoma hadharani barua ya KUJIUZULU huko, tena mbele ya Vyombo vya Habari aliyoipokea toka kwa Makamu wake. Mfano wa hili ilifanyika tarehe 1 April 2022, ambapo Mwenyekiti wa CCM (SSH) alisoma barua ya kung'atuka toka kwa mzee Philip Mangula.
Kwakuwa Mwenyekiti wa CCM sio MAMLAKA ya Uteuzi ya Makamu wake, kuridhia kwake (rais) hakuna nguvu ya kisheria au Katiba ya Chama. Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ndiyo yenye mamlaka hayo. Hivyo, kama Halmashauri Kuu haijaridhia mzee Kinana KUJIUZULU, basi Katiba ya CCM bado inamtambua mzee Kinana kama Makamu Mwenyekiti (Bara).
Jambo ambalo binafsi nalisubiri ni kuona kama Mwenyekiti wa CCM Taifa ataisoma barua hiyo anayosema amepokea ya mzee Kinana mbele ya Mkutano Mkuu.
Ukitaka kuelewa haya niliyoyasema, nenda pitia Katiba ya CCM Ibara 19(b) & (e), sambamba na Kanuni za Uchaguzi CCM 116(d) toleo 2017.
Pia, Ibara za 105 & 106 za Kanuni za Uchaguzi za CCM, sambamba na Katiba CCM ibara 100(5)(a) & 114(1), toleo 2020.
Malizia na Ibara ya 102(12)(a) ya Katiba CCM, pamoja na Kanuni za Uchaguzi za CCM, Ibara ya 106.
Kama kuna lolote la ziada, nitafurahi kujifunza..
Je, mzee Kinana AMEJIUZULU au AMEFUKUZWA, nimeshawafungua macho kwenye hili.
karibuni Tujadili.
Pia soma
- Kuelekea 2025 - Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia
Mama yupo vizuri !Najiuliza tu, juzi tulisikia VP akisema asifikiri mtu yoyote nikiwemo Mimi (VP) kwamba hawezi kubadilishwa (irreplaceable).
Hazijisha wiki 2,Kinana OUT 😀😀😀nipo hapa mtazamaji wa kimataifa kutoka umqontho Wesizwe
Alikuwa anayapima maji kwa mguu !Kuna Kauli moja aliwahi kusema Kikwete..
"CCM haina Mawazo ya Kubadilisha Mgombea Kwa mwaka 2025, Labda hapo mambo yatakapo vurugika Mbele"
Sasa sijajua Yamevurugika au bado
Anapenda kubembelezwa ili aonekane wa muhimu sana !Kwani hii ni mara ya kwanza Komredi Kinana Kujiuzulu?! 🐼
Amefukuzwa amejiuzulu watajuana wenyewe. Muhimu hawa 'gang of four' ukimuongeza marehemu membe wameachia ngazi kwenye utawala.Ibara ya 19(b) ya Katiba ya CCM ya 1977, Toleo la 2022 inatoa fursa ya Kiongozi KUJIUZULU.
UTARATIBU
Makamu Mwenyekiti CCM anapojiuzulu hutakiwa kukabidhi barua ya kujiuzulu kwa Mwenyekiti wa chama Taifa. Kisha, Mwenyekiti anatakiwa Kikatiba (CCM) kuipeleka kwenye Halmashauri Kuu ya CCM Taifa. Hiki ndicho chombo chenye mamlaka ya KURIDHIA au KUKATAA kuridhia kujiuzulu kwa huyo kiongozi.
Kama chombo hiki kitaridhia, rais au Halmashauri Kuu itatakiwa kuitisha Mkutano Mkuu wa chama Taifa kwa ajili ya uchaguzi huku ikipeleka jina la Kada aliyeteuliwa ili apigiwe kura awe Makamu Mwenyekiti mpya wa chama.
Siku ya Mkutano Mkuu (ambao huwa wazi), Mwenyekiti wa Chama Taifa atasoma hadharani barua ya KUJIUZULU huko, tena mbele ya Vyombo vya Habari aliyoipokea toka kwa Makamu wake. Mfano wa hili ilifanyika tarehe 1 April 2022, ambapo Mwenyekiti wa CCM (SSH) alisoma barua ya kung'atuka toka kwa mzee Philip Mangula.
Kwakuwa Mwenyekiti wa CCM sio MAMLAKA ya Uteuzi ya Makamu wake, kuridhia kwake (rais) hakuna nguvu ya kisheria au Katiba ya Chama. Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ndiyo yenye mamlaka hayo. Hivyo, kama Halmashauri Kuu haijaridhia mzee Kinana KUJIUZULU, basi Katiba ya CCM bado inamtambua mzee Kinana kama Makamu Mwenyekiti (Bara).
Jambo ambalo binafsi nalisubiri ni kuona kama Mwenyekiti wa CCM Taifa ataisoma barua hiyo anayosema amepokea ya mzee Kinana mbele ya Mkutano Mkuu.
Ukitaka kuelewa haya niliyoyasema, nenda pitia Katiba ya CCM Ibara 19(b) & (e), sambamba na Kanuni za Uchaguzi CCM 116(d) toleo 2017.
Pia, Ibara za 105 & 106 za Kanuni za Uchaguzi za CCM, sambamba na Katiba CCM ibara 100(5)(a) & 114(1), toleo 2020.
Malizia na Ibara ya 102(12)(a) ya Katiba CCM, pamoja na Kanuni za Uchaguzi za CCM, Ibara ya 106.
Kama kuna lolote la ziada, nitafurahi kujifunza..
Je, mzee Kinana AMEJIUZULU au AMEFUKUZWA, nimeshawafungua macho kwenye hili.
karibuni Tujadili.
Pia soma
- Kuelekea 2025 - Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia
Hivi tangu lini CCM imekuwa na utamaduni wa kutii Sheria au Katiba katika nchi hii?Ibara ya 19(b) ya Katiba ya CCM ya 1977, Toleo la 2022 inatoa fursa ya Kiongozi KUJIUZULU.

Ndo hapo unaweza Kushangaa Kuwa Anapeleka Barua kwa Kiongozi wa CCM kwa kazi ya UmmaJob Ndugai yeye wakati anajiuzuru kuwa Speaker..barua yake aliipereka kwa Chongolo.😊😊
Chama Kinaruhusiwa Kujenga Nchi bila kuvunja Katiba ya Chama wala Kanuni za ChamaHuo mtiririko ni kama amejiuzulu, na mnasema amefurushwa
Sasa mtiririko wa nini tena?
Acheni chama kijenge inchi
Lakini Njia Aliyotumia Kumlindia Heshima Inamchafua Yeye Kama Mwenyekiti wa CCMKinachofanya niamini kinana hajajiuzulu ni timing...
Kwanini sasa! baada ya vijana wake kuondolewa?
Huyu bwana amesusa au kafukuzwa, hakujiuzulu huyu...
Rais ameamua kumlindia heshima tu(uungwana)
Sio mara Ya kwanza..Kwani hii ni mara ya kwanza Komredi Kinana Kujiuzulu?! 🐼
Kwahiyo watanzania tuendelee kuchekelea uvunjwaji wa katiba tofauti na roho ya nchi inavyotaka? Hii itaendelea mpaka lini kuwa "Katiba imevunjwa, katiba imevunjwa?" Na hakuna hatua inayochukuliwa na vyombo vilivyopewa mamlaka ya kusimamia watendaji wa serikali?Kama Katiba ya nchi wanaivunja mchana kweupee.
Hiyo ya Chama ni kijitabu tu mbele yao.
Ukishashika nafadi ya (za) juu basi una immune dhidi ya katiba
Bado kabaki Mmoja hawawezi kumgusa Untouchable ukimgusa tu Umenuka 🤔😅😅😅Amefukuzwa amejiuzulu watajuana wenyewe. Muhimu hawa 'gang of four' ukimuongeza marehemu membe wameachia ngazi kwenye utawala.
Yeye ameshajiuzulu taratibu zitafuata baadaeSio mara Ya kwanza..
Ila tunachokisema Sio yeye Kujiuzulu bali sheria na Taratibu za Kujiuzulu zifuatwe..
Kamati ya Chama na mkutano mkuu Umekaa Lini kupitisha Maamuzi hayo?
Sasa Mh Mwenyekiti Hakutakiwa Kuridhia Maana Yeye Hana mamlaka ya Kuridhia..Yeye ameshajiuzulu taratibu zitafuata baadae
Kawaida Sana 😂
Tanzania ni Nchi ya kipekee kabisa...can you imagine waheshimiwa Msukuma na Kibajaji wanaweza kukaa na wenzao kama kamati kuu au Bunge na kufanya maamuzi ambayo kuanzia Wakuu wa vyombo wakiongozwa na Mkuu wa Majeshi hadi mkulima wa Kawaida kabisa uko tandahimba watayatii Bila kuhoji ata nukta!?Ndo hapo unaweza Kushangaa Kuwa Anapeleka Barua kwa Kiongozi wa CCM kwa kazi ya Umma
Kumbuka Kinana alishajiuzulu wakati wa Shujaa MagufuliSasa Mh Mwenyekiti Hakutakiwa Kuridhia Maana Yeye Hana mamlaka ya Kuridhia..
Ila mamlaka ya Kuridhia yapo chini ya Kamati kuu na CC
Hi mkuu,Ibara ya 19(b) ya Katiba ya CCM ya 1977, Toleo la 2022 inatoa fursa ya Kiongozi KUJIUZULU.