Huwa ninashangazwa na jambo moja, wenzetu wanaoishi ughaibuni (DIASPORA) wakikaa sana (3yrs+) aghalabu hurudi na lafudhi (accent) ya huko, ninashangaa zaidi mtu akiishi mfano Marekani anarudi na YAI la Kimarekani (slang), lakini mtu akiishi India HARUDI na Lafudhi ya KIHINDI;
Hivi ni kwa nini?

Kutokujiamini na asili yao. Na kudhani kuwa kuzungumza kama wao ndio ufahari. Wenye viburi vyao (kama Wazungu) wanaweza kukaa hapa miaka kadhaaa akaishia kusema 'jambo' tu. Ulichokizungumza kuhusu kwenda India huwa kinawatokea wafanyakazi wasaidizi kwenye maduka ya Wahindi, baada ya muda nao huzungumza Kiswahili chenye mwelekeo wa Kihindi... Ni matokeo ya kutojiamini.