Tujadili Madoido ya Lafudhi Kwa Diaspora

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
Huwa ninashangazwa na jambo moja, wenzetu wanaoishi ughaibuni (DIASPORA) wakikaa sana (3yrs+) aghalabu hurudi na lafudhi (accent) ya huko, ninashangaa zaidi mtu akiishi mfano Marekani anarudi na YAI la Kimarekani (slang), lakini mtu akiishi India HARUDI na Lafudhi ya KIHINDI;

Hivi ni kwa nini?
 
mtu una-admire kitu kizuri.....ukienda england unapenda accent yao so unajaribu kuongea kama wao,vilevile mtu akienda USA anavutiwa na accent ya huko so anasjitahidi nkuwa kama wamarekani in many ways....sasa unaenda India unasikia wanavyo-murder the lingo kweli utaitaka accent yao?in fact u speak 100 times better english than them
 
Hapo hoja ni je tunaiga maksudically au accidentally?
 
Kutokujiamini na asili yao. Na kudhani kuwa kuzungumza kama wao ndio ufahari. Wenye viburi vyao (kama Wazungu) wanaweza kukaa hapa miaka kadhaaa akaishia kusema 'jambo' tu. Ulichokizungumza kuhusu kwenda India huwa kinawatokea wafanyakazi wasaidizi kwenye maduka ya Wahindi, baada ya muda nao huzungumza Kiswahili chenye mwelekeo wa Kihindi... Ni matokeo ya kutojiamini.
Huwa ninashangazwa na jambo moja, wenzetu wanaoishi ughaibuni (DIASPORA) wakikaa sana (3yrs+) aghalabu hurudi na lafudhi (accent) ya huko, ninashangaa zaidi mtu akiishi mfano Marekani anarudi na YAI la Kimarekani (slang), lakini mtu akiishi India HARUDI na Lafudhi ya KIHINDI;

Hivi ni kwa nini?
 
Kutokujiamini na asili yao. Na kudhani kuwa kuzungumza kama wao ndio ufahari. Wenye viburi vyao (kama Wazungu) wanaweza kukaa hapa miaka kadhaaa akaishia kusema 'jambo' tu. Ulichokizungumza kuhusu kwenda India huwa kinawatokea wafanyakazi wasaidizi kwenye maduka ya Wahindi, baada ya muda nao huzungumza Kiswahili chenye mwelekeo wa Kihindi... Ni matokeo ya kutojiamini.

ma kweli nilienda mbali sana, bado uzalendo hatujaushiba, ni mbwembwe tu
 
Kwa miaka 3+ alafu umeenda ukiwa mtu mzima, sio rahisi kupoteza lafudhi yako ya asili naweza sema hao wametumia muda wao mwingi kujifunza kuongea hivyo. Na sioni kama ni vibaya kwa kuwa wao wamependa, ila kama wanafanya hivyo kwa kudharau mother tongue yao, naweza sema watakuwa hawajithamini.
 
Huwa ninashangazwa na jambo moja, wenzetu wanaoishi ughaibuni (DIASPORA) wakikaa sana (3yrs+) aghalabu hurudi na lafudhi (accent) ya huko, ninashangaa zaidi mtu akiishi mfano Marekani anarudi na YAI la Kimarekani (slang), lakini mtu akiishi India HARUDI na Lafudhi ya KIHINDI;

Hivi ni kwa nini?

For sure, Kihindi is kind of difficult to master even if you overstay with em, whereas American/UK English is easier to take you away.
 
Back
Top Bottom