Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,258
Huwa ninashangazwa na jambo moja, wenzetu wanaoishi ughaibuni (DIASPORA) wakikaa sana (3yrs+) aghalabu hurudi na lafudhi (accent) ya huko, ninashangaa zaidi mtu akiishi mfano Marekani anarudi na YAI la Kimarekani (slang), lakini mtu akiishi India HARUDI na Lafudhi ya KIHINDI;
Hivi ni kwa nini?
Hivi ni kwa nini?