Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Kwa kawaida tuu soka ni mbinu. na mbinu zinazaliwa kila siku!
Sasa leo tujadili namna ya kudhibiti team inayomiliki mpira au pasi kwa wingi!
Tuanze na mfano wa Manchester City ya pep gurdiola.
Man city huwa Wanapenda kutumia mfumo wa 4-3-3 japo sio kila mara.
Huu mfumo unaruhusu team kumzunguka adui kama ilivyo shilingi hamsini! Kwa hiyo unajikuta unazungukwa kila pembe.
Sababu kipa anapomuanzishia mpira beki wa kati. Right/left back wanapanda katikati kidogo huku beki wa kati atampasia kiungo ambaye ameshuka chini kuchukua mpira!
Kwahiyo mfumo unageuka kuwa 3-4-3! (Kama nimekosea mtu anirekebishe )
So yule kiungo akiwa na mpira kiungo ya chini hapo atapiga pasi kwa wale mabeki wa pembeni ambao waliishia katikati na walikuwa wanasubiri mpira.
Mabeki wa pembeni wakiupata mpira mmoja wapo atasogeza mpira ili kuitia team pinzani presha..hapo anatoa fursa kwa viungo kufanya pressing na kusogea eneo la katikati
Kisha yule beki atarudisha katikati kwa kiungo wa juu, naye yule kiungo atapiga ule mpira kwa