Tujadili: Mbinu rahisi za kuzifunga team zinachocheza pasi nyingi

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Kwa kawaida tuu soka ni mbinu. na mbinu zinazaliwa kila siku!

Sasa leo tujadili namna ya kudhibiti team inayomiliki mpira au pasi kwa wingi!
Tuanze na mfano wa Manchester City ya pep gurdiola.

Man city huwa Wanapenda kutumia mfumo wa 4-3-3 japo sio kila mara.
Huu mfumo unaruhusu team kumzunguka adui kama ilivyo shilingi hamsini! Kwa hiyo unajikuta unazungukwa kila pembe.

Sababu kipa anapomuanzishia mpira beki wa kati. Right/left back wanapanda katikati kidogo huku beki wa kati atampasia kiungo ambaye ameshuka chini kuchukua mpira!

Kwahiyo mfumo unageuka kuwa 3-4-3! (Kama nimekosea mtu anirekebishe )
So yule kiungo akiwa na mpira kiungo ya chini hapo atapiga pasi kwa wale mabeki wa pembeni ambao waliishia katikati na walikuwa wanasubiri mpira.

Mabeki wa pembeni wakiupata mpira mmoja wapo atasogeza mpira ili kuitia team pinzani presha..hapo anatoa fursa kwa viungo kufanya pressing na kusogea eneo la katikati

Kisha yule beki atarudisha katikati kwa kiungo wa juu, naye yule kiungo atapiga ule mpira kwa
 
Mchezo wa kumiliki mpira, nadhan inatakiwa uwe unakimbiza kama liverpool na spurs, wanampira wa kasi na ndio wanampa changamoto man city
 
dawa ya timu zinazopiga hizi pasi nyingi ni kucheza 3-5-2 alafu unakuwa na fullbacks zinazopanda na kushuka kama presha..... na striker zako ziwe zinashuka ndani kidogo .......pia unaweza cheza tu 4-4-2 ukawa na viungo wawili wakazi....ukawa na winger yako ya kulia inateleza na ya kushoto nayo inateleza hadi sio vizuri ...utawaadhibu sana hizo timu za Kumiliki soka ukiwaletea winger za hatari unawafunga tu
 
ku

Kweli kabisa kama mikia walivyochapwa na TP Mazembe Lubumbashi
 
Kwa kawaida tuu soka ni mbinu. na mbinu zinazaliwa kila siku!
Sasa leo tujadili namna ya kudhibiti team inayomiliki mpira au pasi kwa wingi!
Tuanze na mfano wa Manchester City ya pep gurdiola.
Man city huwa Wanapenda kutumia mfumo wa 4-3-3 japo sio kila mara.
Huu mfumo unaruhusu team kumzunguka adui kama ilivyo shilingi hamsini! Kwa hiyo unajikuta unazungukwa kila pembe.
Sababu kipa anapomuanzishia mpira beki wa kati. Right/left back wanapanda katikati kidogo huku beki wa kati atampasia kiungo ambaye ameshuka chini kuchukua mpira!
Kwahiyo mfumo unageuka kuwa 3-4-3! (Kama nimekosea mtu anirekebishe )
So yule kiungo akiwa na mpira kiungo ya chini hapo atapiga pasi kwa wale mabeki wa pembeni ambao waliishia katikati na walikuwa wanasubiri mpira.
Mabeki wa pembeni wakiupata mpira mmoja wapo atasogeza mpira ili kuitia team pinzani presha..hapo anatoa fursa kwa viungo kufanya pressing na kusogea eneo la katikati,
Kisha yule beki atarudisha katikati kwa kiungo wa juu, naye yule kiungo atapiga ule mpira kwa
Suluhu ni kuwapiga viatu hadi waache huo upuuzi
 
Back
Top Bottom