Huu mfumo hauna hata miezi 6 na hii taasisi ina watu weledi na wajuzi wengine walipelekwa India kusoma coding na security, lakini tatizo linaanzia wapi hasa ? Kama mfumo ulikua bado haujawa tayari kwa nini mli phase out ule uliokuepo kabla hamjajoridhisha ?