mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Na wewe nikuulize kunz passport ya Zanzibar?Kuna passport ya Tanganyika?
Kaa kwa kutulia
Tuyaache hivyo mpaka lini??Mambo mengine yaacheni kama yalivyo...
Sijui, ila kuna kitambulisho cha uraia cha Zanzibar.Na wewe nikuulize kunz passport ya Zanzibar?
Wazanzibari wanajivunia uzanzibari wao kwa sababu wana harufu ya kiarabu( yaani baadhi yao ni warabu wa kuchovya sio original) Wewe jaribu kuangalia tu mtaani kwako kama kuna mwarabu then angalia watu anao interact nao( wenye access kwenda kwake mpaka ndani) huwa wanajiona nao ni waarabu kwa rafudhi ya kuongea hadi mavazi both women and men. HIZO NDO ATHARI ZA UKOLONI NDUGU YANGUHii ni kero namba moja ya muungano ya muda wote!! Kwa bahati mbaya haijaorozeshwa wala hakuna mpango wa kuiorodhesha miongoni mwa kero za muungano.
Juzi juzi tumefanya sherehe ya kumbukizi la miaka 60 ya uhuru wa "Tanzania", au wakiona aibu wanasema kumbukizi la uhuru wa "Tanzania bara"!! Lakini ukiwauliza Tanzania au Tanzania bara ilikuwa inatawaliwa na mkoloni gani?
hawana jibu!!!! watakuambia huo ni uchochezi.
Tumeamua kuificha historia yetu kwa kuifunika kwa kioo!!! Tumeifunika lakini inaonekana wazi.
Binafsi naukubali muungano, lakini hii kero ishughulikiwe.
Najivunia Utanganyika wangu kama wanavyojivunia Uzanzibari wao kabla ya wote kujivunia Utanzania wetu!!
Ziliunganjshwa nchi mbili Tanganyika na Zanzibar, ikapatikana nchi moja inaitwa TANZANIAHii ni kero namba moja ya muungano ya muda wote!! Kwa bahati mbaya haijaorozeshwa wala hakuna mpango wa kuiorodhesha miongoni mwa kero za muungano.
Juzi juzi tumefanya sherehe ya kumbukizi la miaka 60 ya uhuru wa "Tanzania", au wakiona aibu wanasema kumbukizi la uhuru wa "Tanzania bara"!! Lakini ukiwauliza Tanzania au Tanzania bara ilikuwa inatawaliwa na mkoloni gani?
hawana jibu!!!! watakuambia huo ni uchochezi.
Tumeamua kuificha historia yetu kwa kuifunika kwa kioo!!! Tumeifunika lakini inaonekana wazi.
Binafsi naukubali muungano, lakini hii kero ishughulikiwe.
Najivunia Utanganyika wangu kama wanavyojivunia Uzanzibari wao kabla ya wote kujivunia Utanzania wetu!!
Zanzibar inaidai Tanzania kupitia toza/share la faida ya Benki ya mabilioni ya dola za kimarekani waulize Benki kuu.alafu wanachukua millions of dollars na ajira 21%