Tujadili: Mtu kujitambulisha kama Mzanzibari ni halali, lakini kujitambulisha kama Mtanganyika ni haramu!!

Kama kuna wazanzibari, watanganyika pia wapo!! haipo namna ya kuwapotezea!
 
Christopher Mtikila ndio mpinzani pekee aliyewahi kutokea nchini Tanganyika.
Tanganyika na Zanzibar ziliungana kupatikana Tanzania.

Sisi ni Watanganyika halisi.
RIP Mtikila.
Ila wahuni sio watu, huyo dingi na uanaharakati wake wote lkn alikua Ni Chakula ya wahuni, wahuni wamepiga sana Ile 'express yourself' yake.
 
Tanganyika Taifa langu
 
Binafsi naukubali muungano, lakini hii kero ishughulikiwe.
Mimi binafsi siukubali Muungano, sikubali 21% ya ajira kwenda kwa watu 2.5% ya population ya nchi nzima.... mimi sio zezeta
 
Na baadaye tukiwa huru Tanganyika yetu tutaiita Tozokstania.
 

Maneno haya yamenitafakarisha sana
Ni jana tu nilikuwa naongea na jamaa wenzangu kuhusu Mila na Tamaduni za mtu mweusi zilivyosambazwa na kupotezwa na wazungu
Hawa tuliokuwa tunawaongelea ni watumwa waliopelekwa [emoji631] na Europe na visiwa vya mbali

Najua halihusiani kabisa na mjadala huu ila kuna uwiano kiasi na sisi kupotezewa mila na uasilia wetu

Imagine leo hata Eddy Murphy au Denzel Washington ukamuambia asili yako ni wapi? Ghana? Senegal? Gambia? Tz ? Wapi hajui na hataki kujua ingawa wanajua ukweli

Asante kwa maneno haya kuntu na wanasiasa ndio wanafanya ishu kubwa na unaweza kuchukuliwa hatua kwa kilijadili hadharani

Utasikia nitaulinda kwa nguvu zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…