Tujadili; Mwanaume kamili unaruhusuje kupigwa na mkeo/mpenzi wako

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,734
Reaction score
140,476

Kwa wanaome wanaopigwa na wake au wapenzi wao. Nini kinatokea mpaka mpaka mwanamke anakuwa na mamlaka ya kutoa kichapo? Mwanaume anakula mpole sana, hana nguvu wala uwezo wa kuhimili piga nikupige au ana huruma? Au anazingatia sana sheria hataki kufanya violence?!

Naona ni kitu cha kushangaza sana.
 
Nafikiri hili ni janga linalopatikana kwa wingi hasa ukanda wa hapa dsm, chanzo ni hawa mashekhe ubwabwa wenyewe wanajiita wakulungwa wa mjiji, wameendekeza mapenzi ya kizungu hadi wanasahau kwamba babu yao mvaa koboz ni mwarabu, hawa hawaoni shida kudungwa na wake zao ila wanahesabu ni makosa kumkataa mudy na dini yake uchwara watapangana waje kukukata kichwa.
 
View attachment 3539492
Kwa wanaome wanaopigwa na wake au wapenzi wao. Nini kinatokea mpaka mpaka mwanamke anakuwa na mamlaka ya kutoa kichapo? Mwanaume anakula mpole sana, hana nguvu wala uwezo wa kuhimili piga nikupige au ana huruma? Au anazingatia sana sheria hataki kufanya violence?!

Naona ni kitu cha kushangaza sana.
Mwaka 2010 nilikuwa na tabia ya kumtandika sana wife,nishamjeruhi sana! Sasa ilifikia wakati akachoka!
end of the day siku nimemzingua alichukua kikombe cha udongo akanitandika nacho usoni,walahi ziliruka damu kama maji! Hadi nilishonwa usoni.....Tangu siku iyo sikuwa nampiga Tena Hadi sasa tushakuwa Age Go!!!
 
Kabla hujaenda au kupelekwa hospital,kulikuwa na hali gani Kati yenu

Allikimbia baad ya kuona damu au yeye ndiye alikupa huduma ya kwanza ????
 
Mwaka 2010 nilikuwa na tabia ya kumtandika sana wife,nishamjeruhi sana! Sasa ilifikia wakati akachoka!
end of the day siku nimemzingua alichukua kikombe cha udongo akanitandika nacho usoni,walahi ziliruka damu kama maji! Hadi nilishonwa usoni.....Tangu siku iyo sikuwa nampiga Tena Hadi sasa tushakuwa Age Go!!!
😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom