Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Mwaka 2010 nilikuwa na tabia ya kumtandika sana wife,nishamjeruhi sana! Sasa ilifikia wakati akachoka!View attachment 3539492
Kwa wanaome wanaopigwa na wake au wapenzi wao. Nini kinatokea mpaka mpaka mwanamke anakuwa na mamlaka ya kutoa kichapo? Mwanaume anakula mpole sana, hana nguvu wala uwezo wa kuhimili piga nikupige au ana huruma? Au anazingatia sana sheria hataki kufanya violence?!
Naona ni kitu cha kushangaza sana.
Kabla hujaenda au kupelekwa hospital,kulikuwa na hali gani Kati yenuMwaka 2010 nilikuwa na tabia ya kumtandika sana wife,nishamjeruhi sana! Sasa ilifikia wakati akachoka!
end of the day siku nimemzingua alichukua kikombe cha udongo akanitandika nacho usoni,walahi ziliruka damu kama maji! Hadi nilishonwa usoni.....Tangu siku iyo sikuwa nampiga Tena Hadi sasa tushakuwa Age Go!!!
πππππππMwaka 2010 nilikuwa na tabia ya kumtandika sana wife,nishamjeruhi sana! Sasa ilifikia wakati akachoka!