Tujadili: Refa kumaliza mpira kabla ya kona kupigwa, tumebebwa au ni sahihi?

Na wasiwasii na shuleulizosomaaaaaaa

90 +4
Ngapi

Kama haijafika hizi dk endele kujadili...

Na kama umefanya mitihan ya taifa

Utaelewa maana ya pens down
 
Tukio pekee ambalo linaweza kufanyika baada ya muda wa nyongeza kuisha ni pigo la penalty. Refa yupo sahihi kumaliza mpira kabla ya kona kupigwa kwa kuwa muda ulikuwa umekwisha
 
Ukweli usemwe refa alikuwa upande wetuuu
Kivipi mkuu? Refa anatakiwa kuwa just and fair kama yule wa jana. Ina maana wewe ushazoea kudhukumiwa na marefa wako wa mchongo akina Victor Mwandiko na Isaro Chacha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…