Tujadili: Refa kumaliza mpira kabla ya kona kupigwa, tumebebwa au ni sahihi?

Wakati tunafurahia matokeo haya, tujiulie: je, ilikuwa sahihi kwa refa kumaliza mpira kabla ya kona kupigwa?

Wachambuzi tusaidieni na wote tuweke ushabiki pembeni.

All In all, hongera Taifa Stars maana hata Yanga goli lao lilikataliwa Mamelodi akabebwa. Mungu ametulipa watanzania.

Soma Pia: Full Time Tanzania 1 - 0 Guinea | 2025 AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 19.11.2024
Na wasiwasii na shuleulizosomaaaaaaa

90 +4
Ngapi

Kama haijafika hizi dk endele kujadili...

Na kama umefanya mitihan ya taifa

Utaelewa maana ya pens down
 
Wakati tunafurahia matokeo haya, tujiulie: je, ilikuwa sahihi kwa refa kumaliza mpira kabla ya kona kupigwa?

Wachambuzi tusaidieni na wote tuweke ushabiki pembeni.

All In all, hongera Taifa Stars maana hata Yanga goli lao lilikataliwa Mamelodi akabebwa. Mungu ametulipa watanzania.

Soma Pia: Full Time Tanzania 1 - 0 Guinea | 2025 AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 19.11.2024
Tukio pekee ambalo linaweza kufanyika baada ya muda wa nyongeza kuisha ni pigo la penalty. Refa yupo sahihi kumaliza mpira kabla ya kona kupigwa kwa kuwa muda ulikuwa umekwisha
 
Ukweli usemwe refa alikuwa upande wetuuu
Kivipi mkuu? Refa anatakiwa kuwa just and fair kama yule wa jana. Ina maana wewe ushazoea kudhukumiwa na marefa wako wa mchongo akina Victor Mwandiko na Isaro Chacha?
 
Back
Top Bottom