Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Hapo kinachotafutwa ni kodi.. hayo mambo ya elimu sijui kutambulika ni mbwembwe tu.Je, utaratibu ukoje?
Je, wafugaji wa wanyama wengine vipi?
Kusajili ni vizuri ila uwekwe utaratibu kwa mifugo yote wafugaji wasajiliwe kuwe na database na sio wafuga kuku wa nyama na mayai. Kuna mifugo mingi nchiniView attachment 1663632