Upepo wa Pesa JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 21,600 Reaction score 35,158 Jan 3, 2021 #41 funzadume said: Je, utaratibu ukoje? Je, wafugaji wa wanyama wengine vipi? Kusajili ni vizuri ila uwekwe utaratibu kwa mifugo yote wafugaji wasajiliwe kuwe na database na sio wafuga kuku wa nyama na mayai. Kuna mifugo mingi nchiniView attachment 1663632 Click to expand... Hapo kinachotafutwa ni kodi.. hayo mambo ya elimu sijui kutambulika ni mbwembwe tu.
funzadume said: Je, utaratibu ukoje? Je, wafugaji wa wanyama wengine vipi? Kusajili ni vizuri ila uwekwe utaratibu kwa mifugo yote wafugaji wasajiliwe kuwe na database na sio wafuga kuku wa nyama na mayai. Kuna mifugo mingi nchiniView attachment 1663632 Click to expand... Hapo kinachotafutwa ni kodi.. hayo mambo ya elimu sijui kutambulika ni mbwembwe tu.
Kadhi Mkuu 1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2015 Posts 19,687 Reaction score 23,689 Jan 15, 2021 #42 3 Angels message said: Wingi ukumbuke unaanzia 2, sasa ili mtu asajiliwe hao wengi wanaanzia wangapi kama unafahamu Click to expand... Sasa Kama mmoja wa nyama na mmoja wa mayai nitasajiri vipi kuku mmoja?
3 Angels message said: Wingi ukumbuke unaanzia 2, sasa ili mtu asajiliwe hao wengi wanaanzia wangapi kama unafahamu Click to expand... Sasa Kama mmoja wa nyama na mmoja wa mayai nitasajiri vipi kuku mmoja?