Tujadili: Uwepo wa Ujamaa wa kisasa ama Ubepari

Samahani! Ujamaa ndio mfumo huu wa kuombana chumvi, viberiti na panga majumbani? Ndio mfumo wa kuchapiana watoto kwa viboko?
 
Socialism is the philosophy of failure, the creed of ignorance, and the gospel of envy.


The inherent vice of capitalism is the unequal sharing of blessings. The inherent virtue of Socialism is the equal sharing of miseries
 
Socialism is the philosophy of failure, the creed of ignorance, and the gospel of envy.


The inherent vice of capitalism is the unequal sharing of blessings. The inherent virtue of Socialism is the equal sharing of miseries
Ukiona mtu anakumbatia ujamaa tactically fahamu ni mtu aliyeshindwa kutumia mawazo yake vizuri. Hakuna mtu mjamaa anayeweza kuepuka umaskini maybe viongozi wa wajamaa. Ujamaa ni umaskini, elimu na uelewa duni, kutokuwa muwajibikaji, unafiki na mtu akiamini atakufa tu.
 
Daa jomba mna roho ngumu..sijui kama mmeusoma ujamaa wa kisasa na kuuelewa...Kuna transformation sio kama was zaman..andiko limeelezea kidogo....huu sio ule ujamaa wa vijiji vya ujamaa na vyama vya ushirika...ujamaa wa kuvaa nguo za aina moja...tofauti
 
Kuna sehemu mbili tu ambako ujamaa unaweza kufanya kazi.
1. Mbinguni ambako hauhitajiki
2. Motoni ambako tayari unatumika
 
Kimsingi ubepari, ninavyouona ni kama ubinafsi wa hali ya juu...it's like survival of the fittest...only those who are fit shall survive..if not you will be left to die..
Hii Ni sera gani jomba..siyo ya kibinadam kabisa..kwenye ubepari hakuna haki. Mtu anayeitwa haki hayupo..the minority rules always...etc etc
 
Ni wapi hapa duniani/ulimwenguni ambako ujamaa umefanikiwa?
 
Unamaanisha Uliberali 'Liberalism'?
 
Kwa asili kabisa binadamu ni bepari. Ukiona binadamu anapingana na ubepari ujue anapingana na asili yake.
 
Samahani! Ujamaa ndio mfumo huu wa kuombana chumvi, viberiti na panga majumbani? Ndio mfumo wa kuchapiana watoto kwa viboko?
Sio huo jomba...hizo Ni style za maisha ya waswahili..
 
Ni nini tafsiri ya ubinafsi kwako?
 
Kwa asili kabisa binadamu ni bepari. Ukiona binadamu anapingana na ubepari ujue anapingana na asili yake.
Kiasilia binadamu Ni mjamaa, sema economic forces ndio zinampeleka kwenye ubepari kwa wachache...
 
Tupe details za sera hii comparatively
Uliberali ni falsafa ya kisiasa na kimaadili inayotegemea uhuru, idhini ya watawala na usawa mbele ya sheria. Waliberali huonyesha maoni anuwai kulingana na uelewa wao wa kanuni hizi.

Kwa ujumla kanuni zinaunga mkono masoko huria, biashara huria, serikali, haki za mtu binafsi, haki za raia, haki za binadamu, ubepari, demokrasia, ujamaa, usawa wa kijinsia, usawa wa rangi, diplomasia, uhuru wa kusema, uhuru wa waandishi wa habari na uhuru wa dini.
 
Hali ya kutaka kuhodhi kila lililo mbele yako..iwe Mali na fursa yoyote kwa manufaa yako na familia yako.tu.

Sasa capitalism ni kuhodhi kila lililo mbele yako?

Capitalism ni ushindani, ubunifu, uhuru na kutumia nafasi.
 
Kiasilia binadamu Ni mjamaa, sema economic forces ndio zinampeleka kwenye ubepari kwa wachache...
Unaweza kutupa viashiria vinavyoonesha kuwa binadamu kwa asili ni mjamaa?
 
Hii inataka kufanana na ujamaa tunaouzungumza
 
CCM mmeanzisha lini ujamaa wa kisasa? Ndiyo ujamaa gani huo? Mnataka kudandia sera ya social democrats ya ACT?

Wazembe wakubwa!!!
Ni rahihi CCM na ACT kuanzisha Serikali ya Umoja wa Kitaifa kuliko Chadema na Chama chochote Tanzania.

CCM imetokana na Ujamaa wa Kushoto kabisa (Leftist), katika mabadiliko ya Dunia CCM kama Vyama vingi vya Siasa Ulaya na Mataifa yake viliamua kuunganisha Sera za Kijamaa na Kibepari.

Kulingana na Wakati Sera moja inakuwa na faida kuliko Sera nyingine, mfano Wakati wa Kikwete Sera nyingi za Kiuchumi zilikuwa Center to Right, ila Wakati wa Magufuli CCM imekuwa Leftist sana kuliko Centric.

Chini ya CCM ya Mangula, Bashiru na Lubinga CCM imekuwa Leftists Kabisa,

Narudi kwenye ACT, Kisera ACT ni CCM na tena ni Marxist, wamerekebisha ukali wa msimamo baada ya Maalim Seif (Liberal) kwenda kule.

Tofauti kubwa ya ACT na CCM ni namna wanataka Muundo wa muungano uwe

Mama Samia ni Centrist
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…