Habari wana JF.
Mimi ni mwanamke ila huu wimbo wa Samia Queens maneno yaliyotumiwa naona hayako sawa.
"Hii dunia bila sisi haiwezi kunoga na sio salama"
"Hatuna haja ya kujigamba sana sifa zetu zunajulikana aaah aaah"
Je, kama wanaume wangeandika wimbo na kutumia maneno haya, tungewafikiriaje?