Tujadili Wimbo wa Samia Queens

Tujadili Wimbo wa Samia Queens

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
Habari wana JF.

Mimi ni mwanamke ila huu wimbo wa Samia Queens maneno yaliyotumiwa naona hayako sawa.

"Hii dunia bila sisi haiwezi kunoga na sio salama"

"Hatuna haja ya kujigamba sana sifa zetu zunajulikana aaah aaah"

Je, kama wanaume wangeandika wimbo na kutumia maneno haya, tungewafikiriaje?
 
Wanawake wote ni wanawake, pia kuna wanaume pia wana wake.
 
Watu wamekua machawa grade one hadi wanakosa hata akili za kuvutia pumzi...🤨
 
Back
Top Bottom