mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
... kwa hiyo serikali imewatambua rasmi LGBT?
... hakuna anayejua kila kitu Chief au hata kwa wanaojua tafsiri zinaweza kuwa tofauti. Wewe unayejua fafanua hayo makundi maalumu ni yapi?kama huyajui makundi maallum nina wasi wasi na elimu yako
Hili swali lako liende kwa kina amstedam na Lisu maana ndio walikuwa wapigania na watetezi wakubwa wa haki za mashoga nchini.Jamani kuna hii wizara mpya aliyopewa Dorothy Gwajima, inaitwa wizara ya wanawake, jinsia na MAKUNDI MAALU MU, je hayo makundi maalumu yanayowekwa pamoja na wanawake na jinsia ni yapi hayo? Isije ikawa ni mashoga na wasagaji na waliobadilisha jinsia!! Ni vizuri ikawekwa wazi mapema!! Huko ulaya na marekani MASHOGA WASAGAJI ndo huitwa makundi maalumu!!
... nadhani jinsia ina-cover jinsia ambazo hazijatajwa moja kwa moja kwenye jina la wizara.Bila shaka makundi maalumu ni kama Walemavu na kuendelea.
Hapa kichwa nachekecha kujua jinsia yenyewe ni watu gani wanazungumziwa maana hapo wamesema ni wizara ya Wanawake, jinsia na Makundi maalumu.
Sasa wametajwa wanawake tena na neno jinsia sasa hiyo jinsia stand for what?
... mzaha mzaha tume-surrender kwa mabeberu ili tupate misaada? Hatari sana unless you are joking!Mashoga, wafiraji, wasagaji, walioharibika kwa mihadarati, wasioolewa, nk.
(NB. Walevi hawaingii kwenye makundi maalum).
Hawa wanachukuliwa kama makundi ya kusaidiwa kama walivyo walemavu.
Jinsia hua zipo mbili japo husemwa na ya tatu na hapo kwa jinsia ya kiume sizani kama inapewa nafasi.... nadhani jinsia ina-cover jinsia ambazo hazijatajwa moja kwa moja hapo.
... with due respect you're wrong! Kuna tofauti kati ya jinsi (sex) na jinsia (gender); kilichopo kwenye jina la wizara ni JINSIA. Jinsi/sex kiumbe kinakuwa assigned at birth and, in principle, there are only two - MALE/FEMALE; JINSIA/GENDER ni pana zaidi and there are several of them including transgender, and the like.Jinsia hua zipo mbili japo husemwa na ya tatu na hapo kwa jinsia ya kiume sizani kama inapewa nafasi.
Kwa nini isiwe walau Wizara ya Wanawake, wazee, watoto na makundi maalumu. Ni ushauri tu
Kwa tusio fahamu ndio mtueleze kua jinsia iliyo wekwa hapo ni jinsia gani wengine hatufahamu.... with due respect you're wrong! Kuna tofauti kati ya jinsi (sex) na jinsia (gender); kilichopo kwenye jina la wizara ni JINSIA. Jinsi/sex kiumbe kinakuwa assigned at birth and, in principle, there are only two - MALE/FEMALE; JINSIA/GENDER ni pana zaidi and there are several of them including transgender, and the like.
Mleta mada kauliza swali la msingi sana japo baadhi tunamdhihaki. Pia, hilo neno JINSIA/GENDER kwenye jina la wizara halijawekwa kwa bahati mbaya. Wana maana yao.
... kuna member mmoja hapo juu (post #3) amesema jinsia inabeba mazagazaga yote wataalamu watatuelewesha zaidi.Kwa tusio fahamu ndio mtueleze kua jinsia iliyo wekwa hapo ni jinsia gani wengine hatufahamu.
Mdau ameeleza kuhusu Makundi maalumu.... kuna member mmoja hapo juu (post #3) amesema jinsia inabeba mazagazaga yote wataalamu watatuelewesha zaidi.
Tanzania na Rais wa kundiana maalum!!!@1. WANAWAKE
2. WAZEE
3. WALEMAVU
4. WATOTO
Tuhakikishiwe kuwa LGBT haitawekwa hapo kuanzia mwanzo kabisa tusije tukaingizwa choo cha kike!! Nasema ni kwa sababu kundi la LGBT lkmekuwa likitafsiriwa huko kwingine kama kundi maalum !1. WANAWAKE
2. WAZEE
3. WALEMAVU
4. WATOTO