TUJADILI: Wizara ya Wanawake, Jinsia na Makundi Maalumu. Makundi Maalumu ni yapi hayo?

Jamani kuna hii wizara mpya aliyopewa Dorothy Gwajima, inaitwa wizara ya wanawake, jinsia na MAKUNDI MAALU MU.

Je, hayo makundi maalumu yanayowekwa pamoja na wanawake na jinsia ni yapi hayo?

Isije ikawa ni mashoga na wasagaji na waliobadilisha jinsia! Ni vizuri ikawekwa wazi mapema.

Huko Ulaya na Marekani MASHOGA WASAGAJI ndo huitwa makundi maalumu!!
Yani mkuu hujui makundi maalumu?
Hukusoma CIVICS au?
 
uzi ulikua na msingi mzuri sana wa kujadili makundi maalumu ila uchangiaji wake unanifanya niupuuze.
 
Japo mlinitukana, mlinicheka, mlinisema, mlinichongea nipewe life ban, lakini niliwaambia ONE DAY TANZANIA itatutambua LGBTQ+ [emoji304]na nikawaambia My Community [emoji304] wavumilie one day wata vaa Pride yao wakiwa kwenye ardhi ya Tanzania, am so excited [emoji3060][emoji3060][emoji3060]

[emoji2524]‍[emoji304][emoji1241][emoji2524]‍[emoji304][emoji1241]
 
una point mkuu kwa sababu wizara ya ajira, kazi, vijana na wenyeulemavu tayari lshalitaja hilo kundi la walemavu.
Huku kwenye hii wizara ni vyema wakayaweka bayana hayo makundi maalumu.
 
Japo mlinitukana, mlinicheka, mlinisema, mlinichongea nipewe life ban, lakini niliwaambia ONE DAY TANZANIA itatutambua LGBTQ+ [emoji304]na nikawaambia My Community [emoji304] wavumilie one day wata vaa Pride yao wakiwa kwenye ardhi ya Tanzania, am so excited [emoji3060][emoji3060][emoji3060]

[emoji2524]‍[emoji304][emoji1241][emoji2524]‍[emoji304][emoji1241]

You lesbian!?
 
Bongo kila mtu mjuvi
Makundi maalum ukiacha walemavu siku hizi kuna watoto wanazaliwa hawana nyeti au wameungana huo sio ulemavu ni kundi maalum linalohitaji jicho la serikali
Tukiambiwa jinsia,hapo ni wanawake na wanaume,siku hizi wapo wanaume wanaonyanyaswa na wanawake zao
Hata pia inahusika na kupambana na mifumo dume
 
Japo mlinitukana, mlinicheka, mlinisema, mlinichongea nipewe life ban, lakini niliwaambia ONE DAY TANZANIA itatutambua LGBTQ+ [emoji304]na nikawaambia My Community [emoji304] wavumilie one day wata vaa Pride yao wakiwa kwenye ardhi ya Tanzania, am so excited [emoji3060][emoji3060][emoji3060]

[emoji2524]‍[emoji304][emoji1241][emoji2524]‍[emoji304][emoji1241]
... duh!
 
Kwani hujui mkuu kuwa tunatambua uwepo wao ndio maana kuna miradi ya vilainishi?
... hatari sana Mkuu. Sijawahi kuwaza Tanzania inautambua ushoga rasmi japo wananchi hatuambiwi ukweli. Kumbe ndioa maana yanazidi kuongezeka kula uchao maana hapa ni "pepo" mwanana!
 
Yatajeni makundi yooote ila msisahau na LGBT community na yenyewe imo ndani ya kundi maalumu
 
Hakukua na umuhimu wowote wa kuwa na Wizara ya wanawake.

Again tunapoteza resources za nchi kwa mambo yasiyokuwa na tija kabisa.

Sasa hiyo wizara itakuwa inafanya jambo gani jipya ambalo katika jamii halikufanyika mpaka itumike nguvu ya Dola??
 
Bila shaka makundi maalumu ni kama Walemavu na kuendelea.

Hapa kichwa nachekecha kujua jinsia yenyewe ni watu gani wanazungumziwa maana hapo wamesema ni wizara ya Wanawake, jinsia na Makundi maalumu.
Sasa wametajwa wanawake tena na neno jinsia sasa hiyo jinsia stand for what?
Hata mashoga ni kundi naalum
 
Jamani kuna hii wizara mpya aliyopewa Dorothy Gwajima, inaitwa wizara ya wanawake, jinsia na MAKUNDI MAALU MU.

Je, hayo makundi maalumu yanayowekwa pamoja na wanawake na jinsia ni yapi hayo?

Isije ikawa ni mashoga na wasagaji na waliobadilisha jinsia! Ni vizuri ikawekwa wazi mapema.

Huko Ulaya na Marekani MASHOGA WASAGAJI ndo huitwa makundi maalumu!!
Masingo maza pia wanaingia.
 
Soma Ibara ya 13 (5) ya katiba ya Jamhuri ya muungano Tanzania ya mwaka 1977. Utayaona hayo makundi maalumu, ila kwa ufupi sana hayo makundi ni mengi
 
Back
Top Bottom