TUJADILI: Wizara ya Wanawake, Jinsia na Makundi Maalumu. Makundi Maalumu ni yapi hayo?

Nyie mnaosema makund maalum n walemavu mkumbuke ndalichako kapewa wizara ya ajira, kaz, vijana na wenye ulemavu. Sasa hao walemavu wataingiaje ktk wizara mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…