Tujadiliane juu ya ugonjwa unaokusumbua na namna ulivyopambana kuukabili mpaka sasa

Tujadiliane juu ya ugonjwa unaokusumbua na namna ulivyopambana kuukabili mpaka sasa

Vidonda vya tumbo inategemeana na kisababishi:Vingine ni kuzidi kwa asidi tumboni inayosababisha kukwangua kuta za tumbo na kusababisha vidonda vyenye maumivu makali,lakini pia inaweza kuwa ni mdudu(bakteria) anayesababisha madonda ya tumbo(H.pyrol)
Fanya mambo haya kwa sasa
1.Jizuie kutumia vyakula vyote vinavyoweza kuongeza asidi nyingi tumboni wakati wa mmeng'enyo wa chakula
2.Jizuie na msongo wa mawazo unaoweza kusababisha uzalishwaji mwingi wa nyongo na hivyo kuchochea ongezeko la asidi tumboni.
3.Pendelea kunywa maziwa fresh kila siku asubuhi mchana na jioni kuanzia sasa.
4.Tafuta mimea ile ya mashona nguo chemsha vizuri na utumie kunywa asubuhi mchana na jioni glass
5. Mwisho tafuta unga wa mizizi ya mjafari ulioandaliwa vizuri kabisa unakuwa unatumia kijiko cha chai katika maji moto asubuhi mchana na jioni.

Mungu akupe wepesi!
Number 04_weka picha
 
Nipe suluhisho la kutibu vidonda vya tumbo maana soon naweza die
tumia unga wa majani ya mlonge ...kijiko 1 kidogo cha chai asubuhi mchana na jioni, kabla ya kula na baada ya kula, ukishindwa hiyo tumia unga wa kokwa la parachichi, kutwa mara 3 baada ya mwezi utapona kabisa ....hakikisha dawa zote hapo ni og siyo feki au tengeneza mwenyewe hizo dawa, angalia youtube namna ya kuzitengeneza, pia nenda pima hpylori ujue kma unaye anza matibabu ya kumuua ndiyo uendelee na hizo dawa mojawapo. kila la kheri usi sahau kutuletea mrejesho hapa tafadhali
 
Tinnitus, sikio kuunguruma
Imenisumbuw sana hiyo ila sahiv kalibu Nina mwaka halija nguruma me Kuna mtu aliniambia niweke ule mkojo wa asbuh bac nikafanya hivyo kwa mda WA week na nilikua sikai sehem yenye kelele na simu nilipunguza kuongea nayo na earphones nilikata mbali nazo
 
Hongera sana, napata shida.

Ulisumbuliwa kwa muda gani kabda hujapata huo uponyaji? Sorry kukuuliza.

Asante.
 
Ndani ya sekunde 60 nitakuonesha namna gani nilivyoweza kutibu mfumo wangu wa uzazi (Nguvu za kiume na stamina) kwa kutumia virutubisho salama ndani ya wiki moja tu

Bonyeza hii link hapa kupata maelezo yote

[emoji117] https://t.co/3ar4hs5YzA

PS: Hii link haitakuepo baada ya masaa 24
 
Vidonda vya tumbo inategemeana na kisababishi:Vingine ni kuzidi kwa asidi tumboni inayosababisha kukwangua kuta za tumbo na kusababisha vidonda vyenye maumivu makali,lakini pia inaweza kuwa ni mdudu(bakteria) anayesababisha madonda ya tumbo(H.pyrol)
Fanya mambo haya kwa sasa
1.Jizuie kutumia vyakula vyote vinavyoweza kuongeza asidi nyingi tumboni wakati wa mmeng'enyo wa chakula
2.Jizuie na msongo wa mawazo unaoweza kusababisha uzalishwaji mwingi wa nyongo na hivyo kuchochea ongezeko la asidi tumboni.
3.Pendelea kunywa maziwa fresh kila siku asubuhi mchana na jioni kuanzia sasa.
4.Tafuta mimea ile ya mashona nguo chemsha vizuri na utumie kunywa asubuhi mchana na jioni glass
5. Mwisho tafuta unga wa mizizi ya mjafari ulioandaliwa vizuri kabisa unakuwa unatumia kijiko cha chai katika maji moto asubuhi mchana na jioni.

Mungu akupe wepesi!
No 3?!!!mbona hospital inakatazwa hii?

No 5 ndo mmea gani huu,picha?
 
Mfumo wa uzazi wa ke je?
Una hiyo elimu pia?
Suala la kutibu nguvu za kiume ni process,siyo jambo la kumpa tu mtu dawa kwa sababu amesema anachangamoto hiyo.Lazima lihusishe kufahamu chanzo cha tatizo ili umtibu kwa ufanisi na apone kabisa.Vivyo hivyo katika uzazi kwa wanawake lazima ujue tatizo la kutoshika mimba ama wengine wanabeba zinatoka kabla.
 
Mkuu mi nimeuliza wa ke sio me!
Ht hivyo asante Kwa maelezo
 
No 3?!!!mbona hospital inakatazwa hii?

No 5 ndo mmea gani huu,picha?
Ni kweli maziwa yanaweza kuongeza ukubwa wa tatizo kwa sababu yanaweza kutengeneza asidi zaidi kutegemeana na aina ya vyakula anavyokula mgonjwa.Inashauriwa kutumia maziwa freshi huku mgonjwa akiendelea kujitibu kwa sababu Maziwa huleta ahueni ya muda mfupi kwa kutengeneza utando juu ya kuta za vidonda,hivyo huweza kupunguza maumivu na kufanya vidonda vipone haraka.Si kutumia maziwa kama dawa ili upone.HUTAPONA
 
Mkuu samahn mm pia Nina huyo bacteria H pylori w vidonda tumbo mlonge unautumiaje au unauandaaaje?
Duh !!madonda ya tumbo yapo ya aina nyingi ukiachana na hayo yako,yapo ya msongo wa mawazo,yapo yanayosababishwa kwa kutumia dawa za kuondoa maumivu na kama Diclofenac,diclopa Nk. Hivyo kama una madonda ya H- pylori tumia tu dawa za kuwauwa hao wadudu ambazo zinapatika hospitali,ila kama ni madonda tofauti na H-pylori tumia mlonge,majani yaliyokaushwa na kusagwa kuwa unga unatia kwa maji yaliyochemka hasa ndani ya kikombe ya chai ,yakipoa kunywa kutwa mara tatu hadi utakapopata nafuu
 
Back
Top Bottom