Tujadiliane juu ya ugonjwa unaokusumbua na namna ulivyopambana kuukabili mpaka sasa

Tonsils. Nimetumia dawa zote za hospital na za kienyeji sijawai pona. Sili vitu vya baridi karibu miaka 7 sasa. Niliambiwa nifanyiwe upasuaji.
Nimekata tamaa kupona ili gonjwa.
 
mi ninasumbuliwa na magonjwa ya koo na mafua,kwangu mimi mafua hayajawai kauka mwezi pia kooni kuna kitu kinatembea kama chajivuta hivi.
 
Nunua apple cider vinegar au American Garden,zinauzwa kwenye super market.Nunua ndimu ya unga zinafungashwa na kuuzwa kuanzia kipimo cha robo.Katika robo lita ya vinegar ongeza gm 175 za ndimu kisha maji robo lita Mchanganyo huo utachanganya kwa pamoja na utakupa tonic nzuri sana kwa tatizo hilo.Utatumia vijiko vitatu asubuhi na jioni.Tonic hiyo pia inaweza kukutibu maradhi mengi ambayo siyo kusudio lako hapa hivyo sitayaorodhesha.Hakikisha unatumia baada ya kula na haitumiki kwa wenye vidonda vya tumbo.
 
Tonsils. Nimetumia dawa zote za hospital na za kienyeji sijawai pona. Sili vitu vya baridi karibu miaka 7 sasa. Niliambiwa nifanyiwe upasuaji.
Nimekata tamaa kupona ili gonjwa.
Kwa kuanza,fuata ushauri katika post # 74
 
Ugonjwa wa ngozi, kutokea dots nyeusi kwenye ngozi nshapambana nazo sana mpaka nimeamua kuziacha
 
Nunua apple cider vinegar au American Garden,zinauzwa kwenye super market.Nunua ndimu ya unga zinafungashwa na kuuzwa kuanzia kipimo cha robo.Katika robo lita ya vinegar ongeza gm 175 za ndimu kisha maji robo lita Mchanganyo huo utachanganya kwa pamoja na utakupa tonic nzuri sana kwa tatizo hilo.Utatumia vijiko vitatu asubuhi na jioni.Tonic hiyo pia inaweza kukutibu maradhi mengi ambayo siyo kusudio lako hapa hivyo sitayaorodhesha.Hakikisha unatumia baada ya kula na haitumiki kwa wenye vidonda vya tumbo.
Nasumbuliwa na kifua yaani mapafu nilishawahi kuugua T.B hapo awali nikapona lakini imeathiri mapafu ambapo inapelekea kujaa maji, msaada wenu jamani, Hospital napata kutoa maji na kutumia vidonge vya kukojoa mara kwa mara
 
Back
Top Bottom