pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Bei ina include shipping, posta na makato ya mpesaZimefika ad ngap mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bei ina include shipping, posta na makato ya mpesaZimefika ad ngap mkuu
Duh nashukuru mkuu. me naona mamb ya kuagiza yatanishinda yanBei ina include shipping, posta na makato ya mpesa
Mwambie uyo sio mimi ndo nilikua namwambia
HUYU MNYAMA VIPI?Ila kwenye Tablets ni kweli nimethibitisha Apple iPad Pro 12.9(2018) inaongoza kwa best performance.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupo pamoja mkuu na mimi nina S4 mini nipo nayo hapa, ila mimi nimeweka custom rom ya Android 10 (leneage 17) nimefanya hivi kwa sababu ya game la dalmax checkers tu
Sawa.Mkiwekewa limitations kama za iOS ili kulinda usalama wenu mtalalamika, iOS kaweka hizo limitations bado mnaiponda sasa mnataka nini kwani?
Hiyo itakuwa kwenye development sidhani kama itatoka mwaka huu. Halafu kumbuka technology kwa sasa inaenda kasi sana ukichelewa chelewa utajikuta umebaki nyuma kama blackberry na nokia
Shida ya aple ndio hiyo,simu anazoziacha kwenye apdate huwa zinaonekana si lolote tena.Mzee tunafanana tabia! Mie nishagundua siwezi kukimbizana na teknolojia , hapa nina tumia iphone 6 kitambo mnoo, simu mpaka nafanana nayo rangi, kwakuwa imekosa toleo jipya la iOS ndio nafikiria kuipiga chini, nikichukua kifaa cha android inabidi simu ikate hata miaka mi5 kama haijaibiwa ama kufa nitaendelea kutumia mpaka nione nafanana nayo rangi, ila naona iphone wao wako vizuri katika kumwaga update ya toleo jipya la OS yao.
Dawa ni kuchukua kifaa latest halafu nasugua nacho lami mpaka kiombe pooo!
iPhone 12 leak reveals 5G secret weapon against Samsung Galaxy Note 20 | Tom's GuideUzuri wa Apple amefanikiwa kutengeneza "Ecosystem" yake ambayo Google hawawezi na hawataweza kutengeneza na kufanikiwa.
Kuanzia hardware hadi software, apple ameshamaliza kote huko na sasa anaboresha tu.
Pia apple sio kwamba yupo nyuma, haoni haja ya kukimbilia tech ambayo haihitajiki kwa wakati huo.
Samsung alileta 5G toka version ya mwaka jana ili hali installation ya 5G haijafanyika hata kwenye miji mikubwa.
Kwanini ukimbilie kujaza mivitu ambayo watu hawahitaji.?
Sidhani kama apple wapo nyuma as you say it. Ila hakujazii gimmicks kama Samsung au baadhi ya simu za android wanavyofanya.
Kwenye camera iphone hana mpinzani sasa.
Kwenye battery life, iphone yupo juu among flagships.
A13 bionic chips is more efficient kuliko chip zilizopo sokoni sasa.
Kwenye display iphone ndio ina lag.
Sent using Jamii Forums mobile app