Moo Click
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,495
- 3,236
Et Ecosystem yakeUzuri wa Apple amefanikiwa kutengeneza "Ecosystem" yake ambayo Google hawawezi na hawataweza kutengeneza na kufanikiwa.
Kuanzia hardware hadi software, apple ameshamaliza kote huko na sasa anaboresha tu.
Pia apple sio kwamba yupo nyuma, haoni haja ya kukimbilia tech ambayo haihitajiki kwa wakati huo.
Samsung alileta 5G toka version ya mwaka jana ili hali installation ya 5G haijafanyika hata kwenye miji mikubwa.
Kwanini ukimbilie kujaza mivitu ambayo watu hawahitaji.?
Sidhani kama apple wapo nyuma as you say it. Ila hakujazii gimmicks kama Samsung au baadhi ya simu za android wanavyofanya.
Kwenye camera iphone hana mpinzani sasa.
Kwenye battery life, iphone yupo juu among flagships.
A13 bionic chips is more efficient kuliko chip zilizopo sokoni sasa.
Kwenye display iphone ndio ina lag.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwaio ye anajua yuko mwenyewe dunia nzima au?
Sio kwamba Android hawawezi kwa kiasi kikubwa naweza nikasema ni Marketing strategy tu android wamewaza upande mwingine wa shilingi usije ukasema hawawezi kufanya ivyo fikiria
Interuction na vitu kama
Other Smarphones
Other Computers
n.k
Kwa Android ili halina tatizo ila kwa iOS imekua shida kwa wengi na sio haya tu mengine wadau wameyasema