Ni priorities to you cannot eat your cake and still have it, uchague security ama kuweka kila takataka unayotaka.
Hata wao android ukitaka kudownload app kutka source nyingine nje ya playstore wanakupa onyo mpaka ukubari risk, apple hakupi hiyo option ya kukubari risk it is all about security maana huwezi jua huko unakoenda kudownload hiyo app what if ni trojan?
Another thing, yani unatoa ela zaidi ya laki 7 unanunua simu halafu ushindwe toa 15,000 nunua app? kweli? and by the way almost app zote ambazo watu wengi ndio wanatumia kwennye simu ni free whatsapp, facebook, instagram, skype, twitter, na nygiine nyingi ambazo asilimia kubwa ya watumiaji hata wa android wanazotumia kwenye simu ni free unless kwa zile app ambazo kwa watanzania ni wahache wanazitumia mfano kama productive apps kama potoshop mobile, flstudio mobile, ndizo utakuta zinauzwa napo ni ela isiyozidi dollar 15-20.
Hiyo siyo tatizo unaweza download kwa kutumia app nyingine sa shida iko wapi? Na ni kwanini ushangae kuwa iphone huwezi download nyimbo wakati unajua policy yao kubwa ni kuzuia piracy ya kazi za watu? Vitu watu mnavyo argue about iphone ni vitu vya ajabu sana. Hakuna mtu aliyeko serious na busy atakayekuwa bothered navyo. Unless ni watu watoto watoto wako busy na ku customize themes, ila kwa mtu ambaye yuk busy businessman, mfanyakazi hawezi miss anything k kwa kutumia iphone maana inafanya mambo yote ya msingi. Unataka nyimbo utnunua itunes, au weka another app udownload.