Tujadiline kuhusu ujio wa toleo la Android 11

Hebu tuambie wewe hiyo android unaitumiaje tofauti na huyo wa iphone?

Sent using Jamii Forums mobile app
iphone is a bit complicated kutokana wao wenyewe walivyo amua

U can't root the phone ( Very very Important)

U can't own by downloading the Music files and own on build in phone music player (sasa sjui wamewaka ya nin) Unless ununue.. kuna nyimbo nyingine hazipatikani Audiomak na other similar apps only google and still huwezi kua nao kwenye mobile itabaki humo humo ndo utaskia go offline

Sharing files to other devices it's a bit complicated especilly bluetooth especially Andoid

Access to Other OS is a bit complicated and sometimes complicated especially Windows.

Tulio zoea Pro Apps like Mobile games hacking patching and stuffs like that is a bit complicated and possible impossible

Yapo mengi hayo ni machache
 
Kuna apps nyingi za kudownload nymbo kwenye iphone. Nilichogundua watu wengi wanaozungumzia iphone hawajawahi itumia wanasikia maneno ya vijiweni. Watu wengi utasikia ooh iphone apps zake zote mpaka ununue
Apps za kununua ni zle nzuri tu of which google play ukikuta inauzwa basi kuna stote nyingine unaikuta free na ni proo mfano back in a days i used to download proo apps from Aptoide iyo ni rahisi mtu wa android kushift from Playsote to Aptoide. iphone kuna haka kamchezo? yani ukute app inauzwa Apple store utoke uko uende Store nyingine na udownload?

iphone is a bit complicated kutokana wao wenyewe walivyo amua

U can't root the phone ( Very very Important)

U can't own by downloading the Music files and own on build in phone music player (sasa sjui wamewaka ya nin) Unless ununue.. kuna nyimbo nyingine hazipatikani Audiomak na other similar apps only google and still huwezi kua nao kwenye mobile itabaki humo humo ndo utaskia go offline

Sharing files to other devices it's a bit complicated especilly bluetooth especially Andoid

Access to Other OS is a bit complicated and sometimes complicated especially Windows.

Tulio zoea Pro Apps like Mobile games hacking patching and stuffs like that is a bit complicated and possible impossible

Yapo mengi hayo ni machache
 
tukitaka movie ni app gani tunatumia,na tunaihamishaje mpaka ikae katika flash tuone kwenye tv.maana mimi hapa na a10,ni kazi ya 20min,naangalia extracted kwenye tv 1080p.

pia natumia jet audio patched ikiwa na features zote,embu nielekeze namna ya kufanya nikiwa ios
Accessibility ya Apple Smartphones na Devices nyingine ni ngumu sijui kwa nini mkuu alafu kuna mtu apa anabisha ujinga ujinga tu
 
Redmi note 8 iko vizuri sana ila uwe makini zinatofautiana matoleo
Mi ninayo hapa inakamata 4g ya Tigo tu
 
Apps za kununua ni zle nzuri tu of which google play ukikuta inauzwa basi kuna stote nyingine unaikuta free na ni proo mfano back in a days i used to download proo apps from Aptoide iyo ni rahisi mtu wa android kushift from Playsote to Aptoide. iphone kuna haka kamchezo? yani ukute app inauzwa Apple store utoke uko uende Store nyingine na udownload?

iphone is a bit complicated kutokana wao wenyewe walivyo amua

U can't root the phone ( Very very Important)

U can't own by downloading the Music files and own on build in phone music player (sasa sjui wamewaka ya nin) Unless ununue.. kuna nyimbo nyingine hazipatikani Audiomak na other similar apps only google and still huwezi kua nao kwenye mobile itabaki humo humo ndo utaskia go offline

Sharing files to other devices it's a bit complicated especilly bluetooth especially Andoid

Access to Other OS is a bit complicated and sometimes complicated especially Windows.

Tulio zoea Pro Apps like Mobile games hacking patching and stuffs like that is a bit complicated and possible impossible

Yapo mengi hayo ni machache
Ni priorities to you cannot eat your cake and still have it, uchague security ama kuweka kila takataka unayotaka.
Hata wao android ukitaka kudownload app kutka source nyingine nje ya playstore wanakupa onyo mpaka ukubari risk, apple hakupi hiyo option ya kukubari risk it is all about security maana huwezi jua huko unakoenda kudownload hiyo app what if ni trojan?
Another thing, yani unatoa ela zaidi ya laki 7 unanunua simu halafu ushindwe toa 15,000 nunua app? kweli? and by the way almost app zote ambazo watu wengi ndio wanatumia kwennye simu ni free whatsapp, facebook, instagram, skype, twitter, na nygiine nyingi ambazo asilimia kubwa ya watumiaji hata wa android wanazotumia kwenye simu ni free unless kwa zile app ambazo kwa watanzania ni wahache wanazitumia mfano kama productive apps kama potoshop mobile, flstudio mobile, ndizo utakuta zinauzwa napo ni ela isiyozidi dollar 15-20.
Hiyo siyo tatizo unaweza download kwa kutumia app nyingine sa shida iko wapi? Na ni kwanini ushangae kuwa iphone huwezi download nyimbo wakati unajua policy yao kubwa ni kuzuia piracy ya kazi za watu? Vitu watu mnavyo argue about iphone ni vitu vya ajabu sana. Hakuna mtu aliyeko serious na busy atakayekuwa bothered navyo. Unless ni watu watoto watoto wako busy na ku customize themes, ila kwa mtu ambaye yuk busy businessman, mfanyakazi hawezi miss anything k kwa kutumia iphone maana inafanya mambo yote ya msingi. Unataka nyimbo utnunua itunes, au weka another app udownload.
 
Can u download and share that Mp3/Mp4 to other devices? usiniambie link
Tatizo ni palate mtu anapotaka windows iact kama Linux... that will never happen.
Apple policy ni entirely against piracy ndiyo maana hats nyimbo huwezi zishare. Ukienda nunua iphone kwanza uwe unajua unachonunua. Yani nikiona tu analalaika nashangaa sana ni sawa ukanunue BMW halafu ulalamike bona haina roho ya paka kama landrover 110?
Narudia iPhone iko against piracy, ina insist kwenye security kwahiyo do not compare it na android otherwise kusingekuwepo na maana ya kuwepo hizi OS mbili kama zingekuwa the same.
And by the way la msingi inafanya yale yote ya msingi ambayo simu inabidi ifanye na apps zote ambazo ni za msingi kwa asilimia 95 ya watumiaji ni bure.
 
sisi wateja ndio tunaamua apple wafanye nini.

nakumbuka kipindi cha kelele za duos kimeanza mlikuwa mafundi wa kufafanua kama hapa.

hata hizo apps zinazoingia playstore kama documents zikiwa zinakiuka miiko ya apple ya kuiba kazi za wati ni matokeo ya kuwapa wateja angarau nusu ya wanachokiomba.

so mabadiriko hayana budi kutokea.

Niambie simu kuwa line mbili kuna compromise vipi security ya simu?
Unaamua nini apple afanye? Kwa taarifa yako hata android kwa ajii ya security taratibu anaenda anaweka limitations kwenye OS ndiyo maana kila toleo linafanya rooting inakuwa ngumu kuliko ilivyokuwa awali....
sijakuelewa hizo docs apps unaongelea nini...
Steve Jobs alikuwa na principle moja inayosema, People don't know what they want until you show it to them. That's why I never rely on market research.
 
Salaam wadau,

Leo katika pitapita zangu mtandaoni nimekutana na hii habari ya ujio wa "Android 11" sasa najiuliza hawa Google vipii? Mbona updates kila baada ya kipindi kifupi?

Binafsi hii inafanya kwa upande wa simu kuwa outdated haraka sanaa...leo hii simu ya Android ya miaka 5 iliyopita inaonekana haifai sababu ya hizi updates za kila kukicha na hata hivyo mbali ya update za kila siku Android imekuwa bado si OS imara haswa linapokuja suala zima la usalama. Hawaoni kuwa hii inazidi kuwapa siga Apple na IOS yao?

Binafsi haya ma-udate ya kila siku ya android yananikera sana na sioni kama yanatatua matatizo haswa linapokuja suala la usalama.

Naomba kupata maoni yenu wadau.

CC: Chief-Mkwawa

Google sets June 3 date for Android 11 ‘Beta Launch Show’ with yet-to-leak surprises
kwamba android version ya miaka mtano nyuma haifai!!!!
 
sana mkuu,nakumbuka apple kwenye hiki kisanga kilimkost.akadai atafix waapi....mpaka leo.

huyu analalamika sababu hajawahi kuwa mtundu wa simu,sisi wazee wa kingroot na utumbo mwingiine tulipata maumivu sana baada ya malshmarow.
wazee wa factory reset,tukala kelbu la kidevu baada ya android 6.
7 ikaja na bootloader.

tunakoelekea computer zitaanza kishindwa ku bypass simu za android zenye lock.maana dalili ziko wazi kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
kabisa mkuu maana ata mimi simu yangu (redmi note 5) ilishindikana adi kariakooo kuiflash nlikua nimesahau password mda nnaireset imechukua miezi karibia mitatu aisee huwez amini. Mimi mwenyewe ni mtundu sana kwa upande wa simu ila nlinyoosha mikono mpaka pale nliporenew namba ya simu kureset password ndo ikakubali.
Kuna fundi mwenge alijaribu kuidowngrade ikakubali ila nlivoiconnect kwenye mtandao tu ikajilock on the spot
 
Salaam wadau,

Leo katika pitapita zangu mtandaoni nimekutana na hii habari ya ujio wa "Android 11" sasa najiuliza hawa Google vipii? Mbona updates kila baada ya kipindi kifupi?

Binafsi hii inafanya kwa upande wa simu kuwa outdated haraka sanaa...leo hii simu ya Android ya miaka 5 iliyopita inaonekana haifai sababu ya hizi updates za kila kukicha na hata hivyo mbali ya update za kila siku Android imekuwa bado si OS imara haswa linapokuja suala zima la usalama. Hawaoni kuwa hii inazidi kuwapa siga Apple na IOS yao?

Binafsi haya ma-udate ya kila siku ya android yananikera sana na sioni kama yanatatua matatizo haswa linapokuja suala la usalama.

Naomba kupata maoni yenu wadau.

CC: Chief-Mkwawa

Google sets June 3 date for Android 11 ‘Beta Launch Show’ with yet-to-leak surprises

Ni sawa ndio improvement zenyewe, ni kAma ios amefika 13.4.1 kama sikosei
 
Niambie simu kuwa line mbili kuna compromise vipi security ya simu?
Unaamua nini apple afanye? Kwa taarifa yako hata android kwa ajii ya security taratibu anaenda anaweka limitations kwenye OS ndiyo maana kila toleo linafanya rooting inakuwa ngumu kuliko ilivyokuwa awali....
sijakuelewa hizo docs apps unaongelea nini...
Steve Jobs alikuwa na principle moja inayosema, People don't know what they want until you show it to them. That's why I never rely on market research.
huo ulikuwa mfano tu.

security anayoweka android inabase katika usalama ya data za mtumiaji zaidi kama apple alivyofanikiwa kwenye icloud.

kama steve ilikuwa moto yake hiyo,basi hawa warithi wamegeuka,maana kama nilivyokwambia apple kwa sasa yeye ndiye yuko nyuma kwenye kila kitu.anafanya kuboresha tu.

Lakini ilikuwa easy kuwa compromised kupitia rooting kitu ambacho jailbreaking kwa iphone imeanza kuwa ngumu zamani sana.
Halafu apple hjaanza kuwa behind leo uwa hana tendency ya kukurupukia mambo mfano mpaka leo hajatoa laptops zenye display touch
 
Nadhani kwa sababu Android ina tumika kwenye devices nyingi na ukiangalia technology inavyokimbia wanalazimika kwenda na wakati ndio maana inapelekea kuwa na updates za mara kwa mara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi sina tatizo na limitations za iOS..wengi wanaolalamika kuhusu hizo limitation ukichunguza malalamiko yao si ya msingi kwa mtazamo wangu na hawana ufahamu mzuri wa matumizi ya vifaa vyao.

Hoja yangu ya msingi ni kwa nini updates kila siku lkn security bado hovyoo...na pia updates zao zinaacha device nyingi sana nyuma zionekane zimepitwa na wakati.
Watu wajinga kama wewe ndio wanadanganywa kua apple ina security kubwa. Ni wajinga kama wewe wanaweza kushawishiwa kununua apple kwa hoja mfu kama hiyo.

Yule mwanamuziki wa marekani ambae iphone yake ilikua hacked na picha zake kusambaa umemsahau? Au kipindi hicho apple haikua na security?
 
Back
Top Bottom