Tujadiline kuhusu ujio wa toleo la Android 11

Tujadiline kuhusu ujio wa toleo la Android 11

Watu wajinga kama wewe ndio wanadanganywa kua apple ina security kubwa. Ni wajinga kama wewe wanaweza kushawishiwa kununua apple kwa hoja mfu kama hiyo.

Yule mwanamuziki wa marekani ambae iphone yake ilikua hacked na picha zake kusambaa umemsahau? Au kipindi hicho apple haikua na security?
Mwanamziki yupi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ni palate mtu anapotaka windows iact kama Linux... that will never happen.
Apple policy ni entirely against piracy ndiyo maana hats nyimbo huwezi zishare. Ukienda nunua iphone kwanza uwe unajua unachonunua. Yani nikiona tu analalaika nashangaa sana ni sawa ukanunue BMW halafu ulalamike bona haina roho ya paka kama landrover 110?
Narudia iPhone iko against piracy, ina insist kwenye security kwahiyo do not compare it na android otherwise kusingekuwepo na maana ya kuwepo hizi OS mbili kama zingekuwa the same.
And by the way la msingi inafanya yale yote ya msingi ambayo simu inabidi ifanye na apps zote ambazo ni za msingi kwa asilimia 95 ya watumiaji ni bure.
Window iact kama Linux kivp? mbona unacho andika hakipo? kwani Windows anavyo kubali kupair na Android ndio window imeact kama android? tatizo ni kukubali kuinteruct na wengine
 
I see natumia simu yangu sana...Games ninazo nne mojawapo ikiwa Pub G mobile.Unachosema ni kweli ila kama mtu anamiliki simu kwa ajili ya matumizi uliyoyataja hapo ana haja gani ya kupata updates?..mfano mtu yupo kijijini na lengo la kuwa na simu ni kupiga kuwasiliana kwa calls na text tu...updates zamfaa nini?
Simu ina shida. Ila ww unaitumia kwa 30% watu wanaotumia kwa atleast 70% ungejua. Unweza kuta hata game huwa huchezi, hushei files kwa bluetooth na Wifi direct, hufanyi multi tasking, sasa hizo bugs utaziona saa ngapi, ukiwa superbuser ndio utajua matatizo ya simu yako, ila kama upi wutsup na kupiga simu na picha huwez ona hayo yote

Au mnasemaje mods wa JF

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzuri wa Apple amefanikiwa kutengeneza "Ecosystem" yake ambayo Google hawawezi na hawataweza kutengeneza na kufanikiwa.

Kuanzia hardware hadi software, apple ameshamaliza kote huko na sasa anaboresha tu.

Pia apple sio kwamba yupo nyuma, haoni haja ya kukimbilia tech ambayo haihitajiki kwa wakati huo.

Samsung alileta 5G toka version ya mwaka jana ili hali installation ya 5G haijafanyika hata kwenye miji mikubwa.

Kwanini ukimbilie kujaza mivitu ambayo watu hawahitaji.?

Sidhani kama apple wapo nyuma as you say it. Ila hakujazii gimmicks kama Samsung au baadhi ya simu za android wanavyofanya.

Kwenye camera iphone hana mpinzani sasa.

Kwenye battery life, iphone yupo juu among flagships.

A13 bionic chips is more efficient kuliko chip zilizopo sokoni sasa.

Kwenye display iphone ndio ina lag.

Sent using Jamii Forums mobile app
Best performance smart phone ni MI 10, check YouTube compare to iPhone pro max yenye a13 cpu na pia hiyo iPhone haipo hata top 20.

Source: Best Smartphones - May 2020

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Window iact kama Linux kivp? mbona unacho andika hakipo? kwani Windows anavyo kubali kupair na Android ndio window imeact kama android? tatizo ni kukubali kuinteruct na wengine
Hivi umeelewa nilichokiandika au umejibu tu?
Ninarudia ukitumia iOS ukiwa na mawazo ya android lazima uione mbaya that is the same kwa waliozoea kutumia iOS waiamia android na mawazo ya iOS wanaiona Android haifai. Ukihamia iOS hamia ukijua limitations zake ndiyo difference iliyopo na ndicho kinachoifanya iwe na hiyo fanbase yake. Vitu mnavyo argue kwa for the class ambayo iOS kailenga na for security reasons siyo vya msingi sijui kuhamisha nyimbo kwa blutooth, sijui kutodownload nyimbo mpaka itunes, ni vitu ambayo kwa walengwa wa iOS kama nyimbo watanunua itunes na kuhamisha nyimbo kwa blutooth ni mambo yaliyopitwa na wakati.
Personally natumia Samsung, kwa muda sasa lakini sijawahi hamisha nyimbo kwa blutooth hata siku moja.
And by the way ukiwa na simu ya android ukanunua simu ya iphone mpya unaweza kuhamisha kila kitu kasoro mziki kutoka android phone yako kuja iphone wakati wa setup.
Kuna vitu vichache tu ambavyo kwa apple naona ka lack behid ambavyo ni vya msingi kama screen mirrroring imemchukua sana muda kufanya hiyo kitu. Lakini malalamiko mengine siyo ya msingi.
 
Salaam wadau,

Leo katika pitapita zangu mtandaoni nimekutana na hii habari ya ujio wa "Android 11" sasa najiuliza hawa Google vipii? Mbona updates kila baada ya kipindi kifupi?

Binafsi hii inafanya kwa upande wa simu kuwa outdated haraka sanaa...leo hii simu ya Android ya miaka 5 iliyopita inaonekana haifai sababu ya hizi updates za kila kukicha na hata hivyo mbali ya update za kila siku Android imekuwa bado si OS imara haswa linapokuja suala zima la usalama. Hawaoni kuwa hii inazidi kuwapa siga Apple na IOS yao?

Binafsi haya ma-udate ya kila siku ya android yananikera sana na sioni kama yanatatua matatizo haswa linapokuja suala la usalama.

Naomba kupata maoni yenu wadau.

CC: Chief-Mkwawa

Google sets June 3 date for Android 11 ‘Beta Launch Show’ with yet-to-leak surprises

We unaishi dunia ya wapi?

Hizo updates zinatolewa kila mwisho wa mwaka.

Hata Iphone nao wanafanya hivo.
 
iphone is a bit complicated kutokana wao wenyewe walivyo amua

U can't root the phone ( Very very Important)

U can't own by downloading the Music files and own on build in phone music player (sasa sjui wamewaka ya nin) Unless ununue.. kuna nyimbo nyingine hazipatikani Audiomak na other similar apps only google and still huwezi kua nao kwenye mobile itabaki humo humo ndo utaskia go offline

Sharing files to other devices it's a bit complicated especilly bluetooth especially Andoid

Access to Other OS is a bit complicated and sometimes complicated especially Windows.

Tulio zoea Pro Apps like Mobile games hacking patching and stuffs like that is a bit complicated and possible impossible

Yapo mengi hayo ni machache

Mkuu mimi nina muda kidogo sijatumia iphone. Lakini by then ilikuwa nikihitaji wimbo au video yoyote. Basi naunganisha na itunes kwenye computer then nahamisha. Sijajua kama nowadays mambo yamebadilika.
 
Ipo inafanya kazi mimi natumia na nina ios 13.4.1
 
Uzuri wa Apple amefanikiwa kutengeneza "Ecosystem" yake ambayo Google hawawezi na hawataweza kutengeneza na kufanikiwa.

Kuanzia hardware hadi software, apple ameshamaliza kote huko na sasa anaboresha tu.

Pia apple sio kwamba yupo nyuma, haoni haja ya kukimbilia tech ambayo haihitajiki kwa wakati huo.

Samsung alileta 5G toka version ya mwaka jana ili hali installation ya 5G haijafanyika hata kwenye miji mikubwa.

Kwanini ukimbilie kujaza mivitu ambayo watu hawahitaji.?

Sidhani kama apple wapo nyuma as you say it. Ila hakujazii gimmicks kama Samsung au baadhi ya simu za android wanavyofanya.

Kwenye camera iphone hana mpinzani sasa.

Kwenye battery life, iphone yupo juu among flagships.

A13 bionic chips is more efficient kuliko chip zilizopo sokoni sasa.

Kwenye display iphone ndio ina lag.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwenye camera hana mpinzani kwenye video. Ila kwenye picha ni trash ukilinganiaha na baadhi ya simu
 
Binafsi sina tatizo na limitations za iOS..wengi wanaolalamika kuhusu hizo limitation ukichunguza malalamiko yao si ya msingi kwa mtazamo wangu na hawana ufahamu mzuri wa matumizi ya vifaa vyao.

Hoja yangu ya msingi ni kwa nini updates kila siku lkn security bado hovyoo...na pia updates zao zinaacha device nyingi sana nyuma zionekane zimepitwa na wakati.
Shame on you we unaona Android ndo zinapitwa na Wakati tu au sio

Unataka kusema hujui what happened? mpaka izo iphone 6 sasa ivi znauzwa laki tatu mtaani imekuwaje?
 
Mkuu mimi nina muda kidogo sijatumia iphone. Lakini by then ilikuwa nikihitaji wimbo au video yoyote. Basi naunganisha na itunes kwenye computer then nahamisha. Sijajua kama nowadays mambo yamebadilika.
Siku hizi kuna Spotify, Deezer, Apple Music.

Mambo ya kuhama na nyimbo waachie wasukuma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shame on you we unaona Android ndo zinapitwa na Wakati tu au sio

Unataka kusema hujui what happened? mpaka izo iphone 6 sasa ivi znauzwa laki tatu mtaani imekuwaje?
Refub za Makumbusho hata kwa 250K unaipata.

Ukienda duka la authorized dealer wa apple, hiyo simu utainunua si chini ya 800K.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom