kcamp
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 8,517
- 7,984
Exactly mkuu...leo hii simu kama s2 bado ina tumika na ina support nzur ya developers bado tofaut na na simu za hao mabwana...hili pia atasema halioni
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kitu chengine ambacho watu hawakiongelei sana ni kwamba kifaa cha Apple ambacho hakipokei updates kinakuwa ni kopo tu kama Nokia ya tochi ama feature phone. Store hupati app yoyote ya maana.
Leo hii kuna watu bado wanatumia galaxy s2 na s3, ila iphone 4 na 4s hazina maana yoyote.
Hivyo kwenye ios utapata updates nyingi ila zikiisha tu mdogo mdogo na apps zinapotea.
Sent using Jamii Forums mobile app