Tujadiline kuhusu ujio wa toleo la Android 11

Hadi simu iibiwe isipoibiwa nitakaa nayo

Sent using Jamii Forums mobile app

Mzee tunafanana tabia! Mie nishagundua siwezi kukimbizana na teknolojia , hapa nina tumia iphone 6 kitambo mnoo, simu mpaka nafanana nayo rangi, kwakuwa imekosa toleo jipya la iOS ndio nafikiria kuipiga chini, nikichukua kifaa cha android inabidi simu ikate hata miaka mi5 kama haijaibiwa ama kufa nitaendelea kutumia mpaka nione nafanana nayo rangi, ila naona iphone wao wako vizuri katika kumwaga update ya toleo jipya la OS yao.

Dawa ni kuchukua kifaa latest halafu nasugua nacho lami mpaka kiombe pooo!
 
Sawa.
 
Shida ya aple ndio hiyo,simu anazoziacha kwenye apdate huwa zinaonekana si lolote tena.

Angalia iphone 5,5c,4,4s kwa sasa.ni nadra hata kukuta mtu yuko nayo.

Iphone 6 nazo mara baada ya kukosa update,mpaka 250k unapata.used ndio kabisaa.ila android hakuna mabadiriko sana kwenye android version updates,ndio maana ni kawaida kukuta mtu ana s2 leo anatumia fresh tu,ila mwenye iphone 4s anaifanya torch na ipod au simi ya msaada.
 
iPhone 12 leak reveals 5G secret weapon against Samsung Galaxy Note 20 | Tom's Guide
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…